Dr. Justine Katunzi wa UDSM Afariki Dunia

ni dr katunzi aliyewahi kuwa mbunge. alikuwa udbs na leo alikuwa anafundisha darala la mba evening akaanguka ghafla. kufika hosp akawa ameshapoteza maisha. very sad!

Ni Msiba mkubwa. Poleni wanaUDSM na Jumuiya yote ya Wasomi.
 
Dr.Justine Katunzi wa UDBS,siku ya tukio(alhamisi) marehemu alikuwa anafundisha darasani (MBA 2year) bahati nzuri alikuwa amekaa ndio akadondoka baada ya kuishiwa nguvu,inasemekana ni presha na vitu kama hivyo.kwa hiyo alifariki wakati wanampakiza kwenye gari ili kumkimbiza hospitali.Mwenyezi Mungu amlaze malali pema peponi, anasafirishwa kesho kwenda Busanda kwa mazishi!
 
Nilikuwepo udbs cku ya tukio kwa kweli kifo kile kili2huzunisha sana wanafunzi pa1 na jumuia ya wanaUDSM kwa ujumla. RIP Dr Katunzi.
 
Wasomi wote poleni kwa kuondokewa na Mtaalamu: yote ni mipango ya Mungu. Amen.
 
Back
Top Bottom