Dr. JJ Mwaka si rafiki wa masikini

Dr. JJ Mwaka si rafiki wa masikini

Nimeona post ya mtu mmoja Instagram jamaa ana range spot kaweka plate namba ya jina lake "MWAKA"

Dah kashapiga hela ndefu sana,hiyo pesa aliyopiga ni equivalent na idada ya watu alio warubuni kisaikolojia wakamuamini wakaweka tumaini lao kwake, wakamuabudu ehh😬
 
Attachments

  • 1450164597125.jpg
    1450164597125.jpg
    62.9 KB · Views: 842
Dah kashapiga hela ndefu sana,hiyo pesa aliyopiga ni equivalent na idada ya watu alio warubuni kisaikolojia wakamuamini wakaweka tumaini lao kwake, wakamuabudu ehh😬

Duh! Kwa dizain hii acha tu aitwe Dr.
 
Na akishamtibu mke wako,na kama mke wako ana mvuto lazima ammleee

Ovaaaa
 
Kwa kipindi kirefu sasa mtaalam wa tiba mbadala maarufu kwa jina la Dr.Mwaka anayetoa huduma zake ktk eneo la Bungoni amejizolea umaarufu miongoni mwa wananchi wanaofika ktk Clinic yake kupata huduma.

Awali ya yote nampongeza kwa maono aliyopewa na mwenyezi Mungu kwa kuwasaidia sehemu kubwa ya watanzania wenzake na hata wa nchi za jirani hususani kwa tiba ya maradhi sugu yaliyoshindikana hospitali.

Masikitiko yangu kwa Clinic hii nimebaini nilipokwenda kupata huduma tarehe 10.12.2015 kwamba kwa gharama zinazotozwa pale hakika siyo rafiki wa masikini.

Kuanzia kugungua kadi ya kumwona daktari, vipimo na kimbunga ni kwenye kulipia dawa. Kwa yule anayehitaji kuonana na Dr.Mwaka mwenyewe nako kuna gharama zake. Kwa mgonjwa unayetarajia kwenda kwa mara ya kwanza unatakiwa uwe na kiasi kisichopungua laki tatu.

Napenda kutoa wito kwa Dr. Mwaka aliangalie swala la kupunguza gharama ili huduma anayoitoa iweze kuwanufaisha idadi kubwa ya Watanzania.

HAKIKA KUSOMA NI MALI.

Hakuna tiba rahisi kama ugonjwa ni mkubwa unaohitaji utaalam mkubwa.

Hebu jiulize ni kwa nini watu wengi wanaiza miguu kwenye hospitali za umma kwa sababu ya kukosa mil. 3 za kukatwa mguu.
Yani mtu analipa mil. 3 sio ili apone tu bali awe mlemavu.
Mtu anagjaramikia ulemavu wa kukosa mguu.
Nilidhani jamii ingemwonea huruma huyu anayekatwa mguu akatwe bure lakini anatozwa mamilioni.

Labda hujawahi kuzunguka kwenye madukaakubwa ya dawa za kizungu kule Upanga karibu na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ukaona dawa ya maji ya kikohozi inauzwa Elfu 30 kutokana na ubora wake.Wakati kuna ya sh. 2500.
Sasa jiulize huyu anayekunywa dawa ya 2500 na elfu 30 wamelazimishwa au kila mtu na mfuko wake.
Kama tunataka kurudi kwenye ujamaa au Ukomunisti na ujima basi tukubali kila kitu kiwe kinamilikiwa na serikali na yeyote atakayeharibu adhabu yake iwe ni kufilisiwa na kunyongwa ili wote tuheshimiane.
Dr. Mwaka hamlazimishi mtu na anaeleza jinsi ya kutumia matunda binafsi kama huna pesa za kununua dawa zake.
 
Ulipona baada ya kutumia tiba yake?, naona watanzania wengi huwa tunapona kwa imani na sio kwa tiba inayotolewa,na hapa hatuongelei maswala ya gharama kilichojiri ni kuwa hana taaluma hiyo ya kuwatibu watu not by professional sio doctor kabisa,aliwashika kweli.

Amesomea hayo anayoyafanya.
Kusoma kuna manufaa kama mtu anauwezo wa kufanya kile alichokusudia kukifanya kwa ufasaha.

Ninaamini kuwa hata huyo Dr. Kigwangala ukimweka kwenye TV ukamwambia aelezee matatizo mia na ishirini yanayoweza kuathiri mfumo wa uzazi tena kwa kutumia michoro ya kitaalam na kwa ufasaha bila kujiumauma na yu no nyingi hawezi. Madaktari wetu wengi kule mahospitalini ni weupe sana. Ni ajira tu lakini wengi ni weupe kweli kweli. Ndio maana watu wanakimbilia mitishamba.
Wataalam wa mitishamba wanawaelimisha wananchi na bora ya kuishi bila kuugua ugua mara kwa mara kwa kula aian fulani ya matunda na dawa ambazo zimetuzunguka kila mahali.

Mfano tu wakati wenzetu sasa wanatumia maparachichi kutengenezea bidhaa nyingi sisi pamoja na hao wataalam kwa muda mrefu kuna baadhi ya watu walikua hawali hata hayo maparachichi mpaka walipoanza kupata elimu toka kwa hawa wataalam wa tiba mbadala.
Hali kadhalika Alovera n.k.
 
Dah kashapiga hela ndefu sana,hiyo pesa aliyopiga ni equivalent na idada ya watu alio warubuni kisaikolojia wakamuamini wakaweka tumaini lao kwake, wakamuabudu ehh😬

Madaktari wengi pale Muhimbili wana mijengo kama hiyo. Tena vijana wadogo tu.
 
Wengi wa Ma - Bush Drs hununua dawa za hospitali mpaka ARV na kuchanganya na mizizi.

Nimeona Wamasai waSinza wakifanya hivyo kwa dawa za watoto mfano za kufunga kuharisha. Za Dr Fukarawo naye zina dalili kama za hospitalini mfano ila ya Vidonda vya tumbo ambayo mgonjwa akinywa huarisha kwa kipindi.

Wafamasia wachunguze dawa hizi. Hazina dozi zitauwa mtu.
 
Amesomea hayo anayoyafanya.
Kusoma kuna manufaa kama mtu anauwezo wa kufanya kile alichokusudia kukifanya kwa ufasaha.

Ninaamini kuwa hata huyo Dr. Kigwangala ukimweka kwenye TV ukamwambia aelezee matatizo mia na ishirini yanayoweza kuathiri mfumo wa uzazi tena kwa kutumia michoro ya kitaalam na kwa ufasaha bila kujiumauma na yu no nyingi hawezi. Madaktari wetu wengi kule mahospitalini ni weupe sana. Ni ajira tu lakini wengi ni weupe kweli kweli. Ndio maana watu wanakimbilia mitishamba.
Wataalam wa mitishamba wanawaelimisha wananchi na bora ya kuishi bila kuugua ugua mara kwa mara kwa kula aian fulani ya matunda na dawa ambazo zimetuzunguka kila mahali.

Mfano tu wakati wenzetu sasa wanatumia maparachichi kutengenezea bidhaa nyingi sisi pamoja na hao wataalam kwa muda mrefu kuna baadhi ya watu walikua hawali hata hayo maparachichi mpaka walipoanza kupata elimu toka kwa hawa wataalam wa tiba mbadala.
Hali kadhalika Alovera n.k.

Aisehh hapa vepe, unajuwa amewalaghai watanzania wangapi, doctorate gani inasomwa kama training especial mwaka mmoja?kwanini anakimbia anapoina serikali inakuja kumkagua eneo lake, na kwanini ajiite doctor kwa kitu ambacho hajabobea acha tusiwe wajinga kiasi hicho,
 
Attachments

  • 1450169822371.jpg
    1450169822371.jpg
    59.9 KB · Views: 635
Patience pays, we wait till after aweek tuone outcome wa uchunguzi watakao tuletea mamlaka husika,wameshapewa agizo,serikali hii ya JPM is aworking robot with integrity
 
Alikosea sana kuojitangaza mali zake Clouds.
 
mwaka ni tapeli kama akina gwajima walivyo matapeli kwenye dini.
 
Amesomea hayo anayoyafanya.
Kusoma kuna manufaa kama mtu anauwezo wa kufanya kile alichokusudia kukifanya kwa ufasaha.

Ninaamini kuwa hata huyo Dr. Kigwangala ukimweka kwenye TV ukamwambia aelezee matatizo mia na ishirini yanayoweza kuathiri mfumo wa uzazi tena kwa kutumia michoro ya kitaalam na kwa ufasaha bila kujiumauma na yu no nyingi hawezi. Madaktari wetu wengi kule mahospitalini ni weupe sana. Ni ajira tu lakini wengi ni weupe kweli kweli. Ndio maana watu wanakimbilia mitishamba.
Wataalam wa mitishamba wanawaelimisha wananchi na bora ya kuishi bila kuugua ugua mara kwa mara kwa kula aian fulani ya matunda na dawa ambazo zimetuzunguka kila mahali.

Mfano tu wakati wenzetu sasa wanatumia maparachichi kutengenezea bidhaa nyingi sisi pamoja na hao wataalam kwa muda mrefu kuna baadhi ya watu walikua hawali hata hayo maparachichi mpaka walipoanza kupata elimu toka kwa hawa wataalam wa tiba mbadala.
Hali kadhalika Alovera n.k.

Acha ujinga wewe, umeona cheti chake alichosomea? Wee umeambiwa huyu traditional healer, yeye kajigeuza dokta wa modern medicine bado unabwek bweka hapa kasomea kasomea.
 
Yule ni Taperi tu,, mi wife Kala Sana DAWA zake bila mafanikio,,, ,, ALIENDA KUPONEA KWA KAIRUKI HOSPITAL,,,tena huyo MWAKA DAWA zake ni gharama kubwa mno na hazisaidii
 
Back
Top Bottom