Dkt. James Jesse (Mhadhiri UDSM): Siku hizi unakamatwa bila kibali na huwezi kupinga

Fikra hizi ziachwe. Shida fikra zile hazipendi mbadala japo lengo lao laweza kuwa jema.
 
"Siku hizi kila kosa mtu anakamtwa tu bila hata ya kibali na hakuna mtu anayepinga na ukipeleka hoja hiyo mahakamani kuwa ulikamatwa bila sheria haitazingatiwa," Dkt James Jesse, Mhadhiri Chuo Kikuu Dar es salaam.

#ElectionSecurity2019
#ElectionSecurity2020

View attachment 1221781
Nilivyoona tu hiyo nembo iliopo chini kulia ya bango nyuma ya huyo na daktari nikamuelewa haraka sana
 
Watanzania tunaishi kwa hofu sana,wakati awamu hii inaingia madarakani tulikuwa tunatembea kifua mbele ,sasa hivi kila ukitembea unageuka nyuma unahisi kama unaviziwa ukamatwe upewe kesi ya kutakatisha saingine unajikuta unakimbia tu mwenyewe kama mwehu
 
Hivi huko vyuoni kweli kuna wasiokuwa "makada wa ccm," Mbona hawasikiki au woga/unafiki? Tunawasikia wa CCM pekee!
Wasiokuwa makada ni wengi tu lakini inabidi kuishi "kinafiki"-unayaona kama huyaoni. Tunaongea kwenye korido na maofisi yetu. Ukipiga kelele kiama kinakushukia. Wanaopaza sauti ni wachahche sana na tumeona wengi wao walivyoshughulikiwa. Mpaka wanafunzi maalum kutoka vitengoni wapo vyuo.
 
Watanzania tunaishi kwa hofu sana,wakati awamu hii inaingia madarakani tulikuwa tunatembea kifua mbele ,sasa hivi kila ukitembea unageuka nyuma unahisi kama unaviziwa ukamatwe upewe kesi ya kutakatisha saingine unajikuta unakimbia tu mwenyewe kama mwehu
 
"Siku hizi kila kosa mtu anakamtwa tu bila hata ya kibali na hakuna mtu anayepinga na ukipeleka hoja hiyo mahakamani kuwa ulikamatwa bila sheria haitazingatiwa," Dkt James Jesse, Mhadhiri Chuo Kikuu Dar es salaam.

#ElectionSecurity2019
#ElectionSecurity2020

View attachment 1221781
Huyu hajui sheria kuna makosa ambayo unakamatwa wakati wowote bila kibali. Makosa unayotakiwa kukamatwa na kibali ni ya madai tu lakini ya jinai unakamatwa wakati wowote.
 
Huyu hajui sheria kuna makosa ambayo unakamatwa wakati wowote bila kibali. Makosa unayotakiwa kukamatwa na kibali ni ya madai tu lakini ya jinai unakamatwa wakati wowote.
Watanzania kuweni na akili basi wewe na mwalimu wa sheria(PhD) nani anazijua sheria?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom