Dr Jakaya Kikwete mwanadiplomasia Mahiri duniani


Frey Cosseny

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Messages
1,715
Likes
1,144
Points
280
Frey Cosseny

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2015
1,715 1,144 280
RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AKUBALI OMBI LA MHESHIMIWA RAIS FIKIPE NYUSI WA MSUMBIJI KUSHIRIKI MAZUNGUMZO YA AMANI NCHINI MSUMBIJI.

Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amepokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Filipe Nyusi.

Ujumbe huo uliwasilishwa jana jijini Dar es Salaam na Mjumbe Maalum wa Rais Nyusi Meja Jenerali Mstaafu Mariano de Araujo Matsinhe ambaye aliongozana na Mshauri wa Diplomasia wa Rais Nyusi Kanali Manuel Mazuze, Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mheshimiwa Monica Patricip Clemente Mussa na Afisa wa Ubalozi wa Msumbiji nchini Rachide Usualle.
5a875dd67a99e52a250844447bf0a3bd.jpg
05f95cba35f97f4ee5033cde7dff6841.jpg
 
M

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Messages
1,739
Likes
815
Points
280
M

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2015
1,739 815 280
vp tena,msumbiji nako ni hali jojo?
 
Frey Cosseny

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Messages
1,715
Likes
1,144
Points
280
Frey Cosseny

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2015
1,715 1,144 280
International figer siyo kama yule babu wa cdm
 
Frey Cosseny

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Messages
1,715
Likes
1,144
Points
280
Frey Cosseny

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2015
1,715 1,144 280
Hahahaha
 
Aleyn

Aleyn

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Messages
11,480
Likes
15,356
Points
280
Aleyn

Aleyn

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2011
11,480 15,356 280
Huyu Jamaa nilimkubaligi katika ile hotuba ambayo alikuwa na mgogoro na kagame pamoja na ushiriki wa Tanzania katika miundombinu Afrika Mashariki, ile hotuba ilisomwa bungeni.
 
maringeni

maringeni

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Messages
2,999
Likes
3,325
Points
280
maringeni

maringeni

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2013
2,999 3,325 280
Hotuba wanaandikiwa !!
Hawatoi kichwani mkuu !
 
jicho la mnyonge

jicho la mnyonge

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2014
Messages
314
Likes
238
Points
60
jicho la mnyonge

jicho la mnyonge

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2014
314 238 60
Nyayo alizopita Jk wa kwanza ndizo hizo hizo Jk wa pili anazifuata, "msuluhishi" "mpatanishi" muunganishaji , wa makundi yanayohasimiana ... Kenya, Libya, Msumbiji.... Kufanana kwa majina na matendo. historia kujirudia..... asante kikwete
 
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
13,461
Likes
10,586
Points
280
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
13,461 10,586 280
BONGE BONGE

BONGE BONGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Messages
3,606
Likes
1,708
Points
280
BONGE BONGE

BONGE BONGE

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2011
3,606 1,708 280
RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AKUBALI OMBI LA MHESHIMIWA RAIS FIKIPE NYUSI WA MSUMBIJI KUSHIRIKI MAZUNGUMZO YA AMANI NCHINI MSUMBIJI.

Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amepokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Filipe Nyusi.

Ujumbe huo uliwasilishwa jana jijini Dar es Salaam na Mjumbe Maalum wa Rais Nyusi Meja Jenerali Mstaafu Mariano de Araujo Matsinhe ambaye aliongozana na Mshauri wa Diplomasia wa Rais Nyusi Kanali Manuel Mazuze, Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mheshimiwa Monica Patricip Clemente Mussa na Afisa wa Ubalozi wa Msumbiji nchini Rachide Usualle.
5a875dd67a99e52a250844447bf0a3bd.jpg
05f95cba35f97f4ee5033cde7dff6841.jpg
....tumekusikia!!!!
 
bukoba boy

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Messages
5,266
Likes
2,937
Points
280
Age
33
bukoba boy

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2015
5,266 2,937 280
Hakika ni wazi na dhahiri dk kikwete ni miongoni mwa wanadiplomasia nguli kuwahi kutokea barani afrika baada ya dk koffi annan na dk salim

Ee mola endelea kumbariki rais wetu mstaafu
Upande mwingine wa JK ambao watu wameufumbia macho sababu wanaona hauna manufaa kwa tz
 
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
8,989
Likes
10,410
Points
280
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
8,989 10,410 280
Hivi kuwasaidia wengine wakati ndani huwezi kuweka mambo mezani ?! AFRICA
 

Forum statistics

Threads 1,236,768
Members 475,220
Posts 29,268,008