bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,372
- 3,945
Malaika ana pande ngapi kwani? Sijasema alikua malaika.Nani kakuambia jk alikuwa malaika?
Malaika ana pande ngapi kwani? Sijasema alikua malaika.Nani kakuambia jk alikuwa malaika?
Wanadamu wote wana mazuri yao, na udhaifu wao, sasa nyinyi bavicha huwa hamtaki kuelewa.Malaika ana pande ngapi kwani? Sijasema alikua malaika.
International 'figer' ndio nini?International figer siyo kama yule babu wa cdm
Si guugo tu itakuelezaInternational 'figer' ndio nini?
Yupi tena? Mababu kibaoInternational figer siyo kama yule babu wa cdm
Halafu Wakenya wakiajiriwa na nyie kuachwa mnalalamika?Si guugo tu itakueleza
Wewe hukunielewa nasema nn ukakurupuka kukomenti kwa kupinga wakati kitu tunachoongelea ni sawa.Wanadamu wote wana mazuri yao, na udhaifu wao, sasa nyinyi bavicha huwa hamtaki kuelewa.
Nani kakuambia jk alikuwa malaika?