Dr Jakaya Kikwete mwanadiplomasia Mahiri duniani

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
1,984
1,405
RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AKUBALI OMBI LA MHESHIMIWA RAIS FIKIPE NYUSI WA MSUMBIJI KUSHIRIKI MAZUNGUMZO YA AMANI NCHINI MSUMBIJI.

Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amepokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Filipe Nyusi.

Ujumbe huo uliwasilishwa jana jijini Dar es Salaam na Mjumbe Maalum wa Rais Nyusi Meja Jenerali Mstaafu Mariano de Araujo Matsinhe ambaye aliongozana na Mshauri wa Diplomasia wa Rais Nyusi Kanali Manuel Mazuze, Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mheshimiwa Monica Patricip Clemente Mussa na Afisa wa Ubalozi wa Msumbiji nchini Rachide Usualle.
5a875dd67a99e52a250844447bf0a3bd.jpg
05f95cba35f97f4ee5033cde7dff6841.jpg
 
....tumekusikia!!!!
 
Hakika ni wazi na dhahiri dk kikwete ni miongoni mwa wanadiplomasia nguli kuwahi kutokea barani afrika baada ya dk koffi annan na dk salim

Ee mola endelea kumbariki rais wetu mstaafu
Upande mwingine wa JK ambao watu wameufumbia macho sababu wanaona hauna manufaa kwa tz
 
Back
Top Bottom