Mzalendo80
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 2,509
- 1,343
Huyu mtu sijui karogwa au sijui vipi.....
Hii kauli yake imeniacha domo wazii.....huyu jamaa hivi yuko siriasi kweli?
bwahahaha kuna ka ring tone ka kauli yake ile.....
Mkuu tafadhali, watu hatujawahi pigwa ban, naomba usitutafutie. This is the matter of National Disintegration halafu wewe unaleta uboflo wako hapa. You are type of peoples who makes this place sometimes to be bored. Wish would attach virus in your all personal data so that uishie kuusikia huu mtandao kwa bomba.
Wewe,na urembo wote huo unakuja kujisaidia hapa mbele za watu hata haya huna.
Chapa ilale hiyo!!...ze nkwere
Huyu mtu sijui karogwa au sijui vipi.....
Hii kauli yake imeniacha domo wazii.....huyu jamaa hivi yuko siriasi kweli?
hili ndio tatizo la kupewa udokta kwenye meza badala ya kuiandikia mtihani. Wenzetu wanachagua viongozi sisi tunachagua majuha, matokeo yake sote tunaonekana majuha
Rais anayesema ukitataka kula lazima uliwe muogope sana,manake hata tukitaka ajira lazima.......!!
...aiseee huyu jamaa imagine ni baba yako walahi tena namkana.....