Hii kauli yake imeniacha domo wazii.....huyu jamaa hivi yuko siriasi kweli?nunueni magari mengi zaidi ili wawekezaji binafsi wawajengee barabara
sisiazi?
jamaaa anakuambia wawekezaji hawawezi kuja nchini mpaka mnunue magari..bwahahahahah
kasema jana hiyo arifu...aiseee huyu jamaa imagine ni baba yako walahi tena namkana.....
Sishangai kama alisema hayo maneno! Kumbuka alishasema nyie hamuoni ajira kwa vijana zimeongezeka hapa kila mtu ana House Girl nyumbani kwake? Hii aliwaambia wabunge kule Dodoma.
unaonekana una njaa au usingizi mana mtu mwenye akili yake timamu hawezi kuandika utumbo kama huu mbele za watu