dk.ndodi namkubali sana kama anakubore badilisha station hujalazimishwa pia yeye ndiye anayelipia kipindi wewe kusikiliza tu
Ndugu kipindi hiki kwa vyovyote kinafuatuliwa na watu wa imani tofauti, na nina hakika huyo Dr. Ndodi (sijui ni udokta wa nini) ndilo lengo lake, kama ndivyo aache kuingiza mambo ya kiimani kwenye hayo mafundisho yake. Kwa vyovyote kwa wengine inaweza kuwa kero.
Kuhusu kubadili kipindi sidhani kama Ndodi (anayelipia kipindi) angejibu kama ulivyojibu wewe.
Hapa hoja ni dokta Ndodi kutambua kuwa anasikilizwa na watu wa imani tofauti na awatendee haki, sio suala la wewe kumkubali, huo ni ubinafsi.
Mimi ni mkristo.
These little parochial itinerant evangelists are nothing but opportunistic freeloaders constantly looking to binge on account of the sheeple.
Mwanamke anayemsikiliza huyo automatically kashakuwa disqualified anyway.
So inawezekana in a roundabout way, in a Darwinian evolutionary sense, anasaidia ku weed out the feeble minded.
Mwanamke asiolewe na mywa pombe wakati Yesu mwenyewe alivyoingia kwenye harusi na kukuta mvinyo umeisha alibadili maji kuwa mvinyo.
The hilarity!
We unamuamini Matola? Mbona hajaweka hata quote moja, usiwe naive kutrust hyperbolics za emotions za watu.
Achana nao hawajui walitendalo YESU aliwanywesha mvinyo waalikwa kwenye harusi ya Cana Wasabato ni matatizo kuliko Walokole
mbona Wakatoliki Padri anazuia mwenyew hichi kilagi bwana hata wanawake wanakitumia hasa Safari lager kwani kinaongeza mengi
Ni saa 12 kamili asubuhi kwa saa za Afrika mashariki kama kawaida Matola naamka BBC.
Mwanaume hupaswi kuwa kitandani saa hizi
Back to topic kuhusu huyu Dr Ndodi kila siku saa 4 usiku ana kipindi redio free Africa na anatoa elimu nzuri sana kwa vijana wajitambuwe.
Lakini tatizo langu linakuja pale anapolazimisha kila kitu kiwe quoted kutoka kwenye biblia na kana kwamba kila mpenzi wa semina zake ni mfuasi ya Yesu kristo.
Mimi ni Mkristo lakini ninachojuwa Yesu wala haitaji promo kama hizi za Ndodi otherwise abaki kwenye kazi yake ya Uinjilisti tujuwe moja kuliko kuhutubia watu wa imani tofauti na kulazimisha wawe katika mlengo wa kiimani.
Kuna vijana wengi tu wa kislaam wanavutiwa na mada zako lakini unapochanganya na Uinjilisti wako unabore baba.
Cha mwisho jana usiku nikiwa nyumbani nasikiliza kipindi chako nilifunguwa friji nikavuta kopo zangu za bia nikawa napooza koo huku nakusikiliza kwa makini mwishowe ukatowa elimu kwamba mwanamke asikubali kuolewa na mwanaume anayekunywa pombe!! Hapo ndio nikahitimisha wewe ni mjinga kabisa na Wasabato sijajuwa hasa tatizo lenu kichwani ni nini hasa?
Asante mkristo mwenzangu kwa kuelewa hoja yangu hasa ni nini.
We unamuamini Matola? Mbona hajaweka hata quote moja, usiwe naive kutrust hyperbolics za emotions za watu.
We mwenyewe umetoka mirembe juzi na dozi hujamaliza unafikiri utaelewa..?
**** Maruwengee *****
Achana nao hawajui walitendalo YESU aliwanywesha mvinyo waalikwa kwenye harusi ya Cana Wasabato ni matatizo kuliko Walokole
mbona Wakatoliki Padri anazuia mwenyew hichi kilagi bwana hata wanawake wanakitumia hasa Safari lager kwani kinaongeza mengi
Wenyewe wanasema kutumia majani ya chai dhambi yana kilevi cjui coccain cjui nini wataalam wanisaidie.
Ndio wanasema unataka usaidiwe nn hapo
Mbaya zaidi jamaa alikuwa anaponda vitambi kwa nguvu zoote na kuzinadi dawa zake kama kiboko ya magari mabovu...nlishangaa sana kumuona ana tumbo kama mfuko likiwa limekaa katika hali ya manyama uzembe. Nkijiona kijana nna six pack na nimefuata dawa kwake nilighairi hata kasemina kake mbuzi.
Yaani waafrika tumekaa kitapeli tapeli tu.
Blalifuli kitambi ndodi!
Mkuu Unaweza ukani ainishia hayo matatizo ya Wasabato moja baada ya jingine ukayaleta Hapa kwa manufaa ya jamii nzima?
Nakuomba fanya hivyo tafadhali..!
Watu wengine kazi kweli kweliPaza sauti usikike kwa kila mtu ushahidi uwe dhahiri