Dr. Isaac Ndodi, jirekebishe

Kwani bia ina tatizo gani...??? Yani hebu mniambie ndani C2H2OH ndani yake kuna dhambi..??? Tafadhali mtu anieleweshe...

Kinachokataliwa hasa na Biblia ni Alcohol Abuse na siyo alcohol..

Madhara ya kukariri Biblia...

waambie mkuu!! viongoz wao wanakata kilaji bila wacwac...tunawajua
 
Ni dhambi mswahili kuoa au kuolewa na mzungu by Dr Ndodi.

pia ikumbukwe kuwa huyu jamaa ni mjasiliamali tu kama wengine. Nadhani kikubwa ni kuchukua kile kitakachokufaidisha mingine atajijua mwenyewe. Kama hilo la mzungu ni fikra zake. sio lazima ziwe sahihi.
 
Wewe ndio mnaoambiwaga mtembee na funguo za gari magari yatakuja kupatikana tu, ujinga huu kushindwa kuhoji credibility ya mtu.

Hahahahaha, au yale ya mhubiri flani anasemaga nenda sheli kaulize litre ya mafuta sh.ngapi af baada ya mda mfupi unapata gari.
 

Wenyewe wanasema kutumia majani ya chai dhambi yana kilevi cjui coccain cjui nini wataalam wanisaidie.
 
Yaani alipo ponda kilaji tu ukachanganyikiwa duu! hapana chezea kilaji kumbe.
 
kumbe shida ni alipoiponda pombe!Kama kweli wewe ni mkristo haitakuboa ukiona mtu anasoma biblia au kuhubiri habari za Yesu,vinginevyo Ukristo wako utakuwa na mushkeli.
Siyo kweli, mbona wakatoliki wanaruhusiwa kunywa pombe. Mimi kwa macho yangu nimewashuhudia padri na masister wakinywa bia katika harusi ya jamaa yangu. Kwani ndodi anatumia biblia gani na mapadri/sisters wanatumia biblia gani????
 
Kwani bia ina tatizo gani...??? Yani hebu mniambie ndani C2H2OH ndani yake kuna dhambi..??? Tafadhali mtu anieleweshe...

Kinachokataliwa hasa na Biblia ni Alcohol Abuse na siyo alcohol..

Madhara ya kukariri Biblia...

Biblia imeruhusu bia ila usilewe tu. Ndo maana mapadri na masister wanaonesha mfano kwa kunywa bila kulewa
 
Comrade Matola Huogopi Kulaaniwa? Umepotelea Wapi Mkuu? au Ulipigwa Red Card Humu JF?
 
Karibuni kipindi ndio kinaanza wakuu
 

Yaan umezungukaaaa lakini sababu hasa ya kukukuera na kumtaka ajirekebishe ni hii...hatari sana!!
 
Soda ina madhara, chakula kina madhara....hakuna kitu ambacho hakina madhara kama uta over use..

Kusali kulikopitiliza kuna madhara...utakosa muda wa kufanya kazi..utakufa na njaa..

Mkuu unaongelea madhara katika nyanja gani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…