Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
- Thread starter
-
- #41
Ni imani za kisabato anachanganya na science ya tiba.Nimeenda hadi ofisini kwake na wale wahudumu wake almos wote ni wasabato.Mimi mwenyewe huwa namsikiliza nikiona kwangu positive nachukua na nikioana negative naacha.Lakini jambo ambalo kwangu negative kwa mwingine ni positive.Na biblia ndivyo ilivyo kila mtu anatafsiri kivyake na ndio maana kuna utitiri wa madhehebu.
Nb nimeenda hadi ofisini kwake na nadhani anachohubiri vingine havifuati
Haya bana.Amini uaminivyo.Unaona unavyojichanganya sasa?
Ndio hivyo mkuu.Bible kila mtu anatafsiri kivyake.Si unakumbuka ya kina Kibwetere wa Uganda???Nimekumbuka kuna wale Sabato masalia waliotaka kupanda ndege bure kwenda ulaya.
HIVI KUNYWA POMBE NI UFAHARI KUMBE EEH
nauliza tu
Mkristo anachukia Yesu Kristo anapotangazwa kwa mataifa yote??? Mkristo wa wapi wewe?
Kushauriwa usinywe pombe haina maana anayetoa ushauri ni mjinga, ila anayeukataa ndio nina uhakika hana sababu ya msingi anayoweza kutoa kuthibitisha pombe au vileo vina faida au manufaa gani katika maisha yake. Mkristo wa KWELI anatambua kuwa mwili ni hekalu la roho mtakatifu, hivyo kuliharibu na kulitia unajisi kwa pombe sio hekima wala sio Ukristo.
Sioni kinachokuchukiza anapomtangaza Yesu Kristo, hata waandishi maarufu wanaheshimika duniani kama Dr. Ben Carson (MD) ameandika vitabu maarufu kama Gifted Hands, Think Big, Big Picture na anamtangaza Yesu Kristo ndani yake.
Kama kweli ni Mkristo wa kweli, usione aibu kumtangaza Yesu Kristo maana YEYE pia atakuonea aibu mbele ya Baba yake. Na pia kusikiliza kipindi sio lazima.
Samahani lakini.
Yeye ameombwa atoe andiko linalokataza Watu weusi kuoa wazungu basi. Kama hana la kuongea akahutubie sabatoni na si kwenye TV maana wengine tunataka kuangalia vipindi vya maana. Vipindi si kama wanaangalia wasabato akitaka hivyo aende kwenye matv ya dini yapo mengi tu.
Wakizimuka shida zinzrudi, unawapa tena Konyagi, wakizinduka unawapa vodka, wakizinduka wanajikuta back Ni mskini, unawapa tena dozi ingine,mwisho wanakuwa addicted hawana uwezo vodka/konyagi watabaki na bongo then kufaWape maskini mvinyo wasahau shida zao.
I second with that, wasabato na shangazi zangu wasilamu mimi huaga siwaelewi kabisa, nimejaribu kuwaelewa nimeshindwa. Nime give-up.
Nipe tofauti kati ya beer na alcohol.
HIVI KUNYWA POMBE NI UFAHARI KUMBE EEH
nauliza tu
Hata mim zaman nilikuwa nawaona hawa jamaa vichaa kamili.Mfano hawatumii majani ya chai na wanatumia "mchaichai" kwa sbb majan ya chai yana madhara kwa bindadam.Ni dhahiri sasa wao ndio wazima na tunaowapinga ndio vichaa wa ukweli.
Simple minded just like Dr Ndodi Non alcohol beer ni pombe? Nyinyi hamuwezi kunywa Baltika?
kumbe shida ni alipoiponda pombe!Kama kweli wewe ni mkristo haitakuboa ukiona mtu anasoma biblia au kuhubiri habari za Yesu,vinginevyo Ukristo wako utakuwa na mushkeli.
kumbe issue ni ulevi?
msilewe kwa mvinyo maana ndani ya mvinyo kuna ufisadi. hapa atukanwe nani tena bibilia au?
Bia ni kinywaji kinachotengezwa na kimea mf shayiri, tufaa(apple) pea,.....(malt)
Itakuwa pombe endapo itachachushwa (fermented)
Alcohol ni spirit...inaformula (CH)nOH....n in-represent number za Carbon-Hydrogen bond...
Kinachofanya kuwa alcohol ni hiyo Group OH...
Alchol maarufu katika vinywaji vyote vye alcohol ni C2H2OH....(.Ethyl Alcohol)
Alcohol yenye Carbon moja CHOH inaitwa Methyl Alcohol ambayo ni hatari kwa mtumiaji maana metabolism yake inatoa sumu kali iitwayo Methaldehyde...hii huaribu Optic Nerve na kumfanya mtu kuwa kipofu au kusababisha kifo kabisa..
Pombe za kienyeji ambazo hazifuati formula za uchachushaji hutengeneza aina hii ya pombe..
Ndio maana kwenye Bia zote utakuta wameandika 4.5% alcohol or 0% alcohol
Ahsanta