Dr. Idrisa Rashid na Ikulu kulikoni?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Idrisa Rashid na Ikulu kulikoni??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sajenti, Dec 23, 2009.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kuna habari kuwa ikulu iko katika mkakati wa kutaka kumrudisha madarakani aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa Tanesco Dr. Idrisa Rashid ambaye mkataba wake ulikwisha Novemba 30 mwaka huu. Hii ina maana kuwa, endapo jaribio la kumrudisha tena madarakani likifanikiwa itakuwa ni mara ya pili kwa mtanzania huyo kuitikisa serikali na Tanesco. Itakumbukwa mapema mwaka huu kulikuwa na habari kuwa Dr. Idrisa alitofautiana na bodi ya wakurugenzi kiasi cha kutishia kuandika barua ya kujiuzulu...Haya Tz ni zaidi ya tuijuavyo.
   
Loading...