Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,363
- 14,599
Hakunaga mabadiliko ya Waziri Mkuu yasiyohusisha kuvunjwa kwa Baraza la Mawaziri.Mheshimiwa Dr Hussein Bashe MP PhD anasubiria kuapishwa baada ya mabadiliko ya Baraza la mawaziri hivi karibuni.
Kweli kabisa, Bash3 ni mtu poa sana. Tulisoma wote OxfordBashe jamaa tulipiga nae kitabu mzumbe university.......that time hakuwa na mambo mengi.
Sasa kuvunjwa unaona kitu cha ajabu. Ngumbaru punguzeni ujuajiHakunaga mabadiliko ya Waziri Mkuu yasiyohusisha kuvunjwa kwa Baraza la Mawaziri.
Sasa hapo nani ni ngumbaru? Wewe ndio upunguze umbea unakuja na vihabari vya kuokoteza.Sasa kuvunjwa unaona kitu cha ajabu. Ngumbaru punguzeni ujuaji
Waziri mkuu? MaviMheshimiwa Dr Hussein Bashe MP PhD anasubiria kuapishwa baada ya mabadiliko ya Baraza la mawaziri hivi karibuni.
Sasa limevunjwa? Usituletee stories za ushilawadu hapa!Sasa kuvunjwa unaona kitu cha ajabu. Ngumbaru punguzeni ujuaji
Hahaha ngoja nichekee ChooniMheshimiwa Dr Hussein Bashe MP PhD anasubiria kuapishwa baada ya mabadiliko ya Baraza la mawaziri hivi karibuni.
Time will tell
achana na ndoto hizi usje jikojoleaMheshimiwa Dr Hussein Bashe MP PhD anasubiria kuapishwa baada ya mabadiliko ya Baraza la mawaziri hivi karibuni.
Duuh!Unaweza ukampa uwaziri mkuu.mtu.ambaye alikuwa waziri wa kilimo halafu ana.kiwanda cha.mbolea. huyo si jambazi kama wengine.
bora hata ya Bashe aisee , huyu aliyepo kwa sasa dahππππ