johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,635
Ile ilikuwa danganya toto kwa mamilion ya pesa waliyo yachota wangepewa adhabu za kufagia hospitaliti ?
Ilikuwa amri kutoka juuNimetafakari sana jambo hili baada ya kupitia taarifa za yule mkurya wa Musoma aliyefisadi mradi wa maji Bunda pamoja na Musoma hotel. Nikasikia kuwa eti huyio fisadi ni mfadhili wa CCM huko " kijijini" Musoma ndio maana anaogopwa hata na vyombo muhimu. Najiuliza ilikuwaje mkurugenzi wa zamani wa Takukuru alisimamia kesi ya Mramba na Yona kwa ufanisi tena bila woga hadi jamaa wakatupwa gerezani?.....Haiwezekani kukopa mikakati na ujasiri wake hata kama alikuwa na mapungufu mengine? Naomba niishie hapo!
Mkuu ufisadi wa huyu mkuria na wengine wa aina hiyo utathibitika mahakamani na si toka kwenye vinywa vya watu wenye nguvu.Nimetafakari sana jambo hili baada ya kupitia taarifa za yule mkurya wa Musoma aliyefisadi mradi wa maji Bunda pamoja na Musoma hotel. Nikasikia kuwa eti huyio fisadi ni mfadhili wa CCM huko " kijijini" Musoma ndio maana anaogopwa hata na vyombo muhimu. Najiuliza ilikuwaje mkurugenzi wa zamani wa Takukuru alisimamia kesi ya Mramba na Yona kwa ufanisi tena bila woga hadi jamaa wakatupwa gerezani?.....Haiwezekani kukopa mikakati na ujasiri wake hata kama alikuwa na mapungufu mengine? Naomba niishie hapo!
Ile ilikuwa danganya toto kwa mamilion ya pesa waliyo yachota wangepewa adhabu za kufagia hospitaliti ?
We ndo zaidi ya kilaza unaposikia kuwa kasababishia serikali hasara kwa kutoa misamaha ya kodi nyuma ya pazia ya misamaha ya kodi unajua kuna nini au ndo hizo akili za kwenye magazeti alafu unakuja kuita wenzako vilaza?Kumbe humu vilaza bado mpo!? Nani alifungwa kwa kula pesa!? Hawa walifungwa kwa kuisababishia serikali hasara wakiwa madarakani kwa kutoa msamaha wa kodi na siyo kuwa walichukua pesa.
Upunguani ndo huu sasa, kosa la kuchukua hela za umma pamoja na kifungo unatakiwa ukitoka ulipe, ila kutumia madaraka kwa kutoa msamaha kinyume na sheria means ulikosea kutoa msamaha ila hukula hiyo pesa,rudi skuliWe ndo zaidi ya kilaza unaposikia kuwa kasababishia serikali hasara kwa kutoa misamaha ya kodi nyuma ya pazia ya misamaha ya kodi unajua kuna nini au ndo hizo akili za kwenye magazeti alafu unakuja kuita wenzako vilaza?
Aya hakula boss umeshinda.Upunguani ndo huu sasa, kosa la kuchukua hela za umma pamoja na kifungo unatakiwa ukitoka ulipe, ila kutumia madaraka kwa kutoa msamaha kinyume na sheria means ulikosea kutoa msamaha ila hukula hiyo pesa,rudi skuli
Bora umeanza kuliona. Mimi nilimtoa maana pale alipomhamisha Mkuu wa Takukuru pale Mbozi Mbeya mwaka 2009 ili kuwalinda mafisadi wa Halmashauri hiyo waliokuwa wakishirikiana na viongozi wa juu wilayani na mkoani.Dr Hosea??? Utakuwa umechoka sana kunywa maji ulale.
Yaaa.Pia ukiwa mtoto mzuri kama Lulu,au wema utafungwa kidogo tu.Bongo tajiri hafungwi
Kwanini umemtolea mfano huyu mkurya umeshindwa kuwatolea mfano watu kama vile nyoka wa makengeza na team yake au una chuki na huyu mkuryaNimetafakari sana jambo hili baada ya kupitia taarifa za yule mkurya wa Musoma aliyefisadi mradi wa maji Bunda pamoja na Musoma hotel. Nikasikia kuwa eti huyio fisadi ni mfadhili wa CCM huko " kijijini" Musoma ndio maana anaogopwa hata na vyombo muhimu. Najiuliza ilikuwaje mkurugenzi wa zamani wa Takukuru alisimamia kesi ya Mramba na Yona kwa ufanisi tena bila woga hadi jamaa wakatupwa gerezani?.....Haiwezekani kukopa mikakati na ujasiri wake hata kama alikuwa na mapungufu mengine? Naomba niishie hapo!
Mahuza sio mkurya bali ni mchanganyiko wa mzanaki na mwikizuMkuu ufisadi wa huyu mkuria na wengine wa aina hiyo utathibitika mahakamani na si toka kwenye vinywa vya watu wenye nguvu.
Mkuu mahuza sio mkuryaK
Kwanini umemtolea mfano huyu mkurya umeshindwa kuwatolea mfano watu kama vile nyoka wa makengeza na team yake au una chuki na huyu mkurya