Nani aitikise Ikulu? Hosea? think twice. Hii ikulu yetu haijawahi kutikisika na mambo mengi tu ya msingi itakuwa la Hosea na Wiki leaks cables?
Ni kwamba Ikulu yetu haijawahi kuwa serious kwa mambo ya msingi ambayo ndio yanapasa kuitikisa. Mambo hayo ni pamoja na swala la mikataba tete ya madini, uchafuzi wa mazingira na wawekezaji ktk machimbo ya madini mfano North Mara, umeme, huduma za kijamii kama ubora wa elimu, hali duni za maisha ya watz wengi nk. Kifupi ni kwamba Ikulu yetu haiwajibiki kwa wananchi it is rather the opposite kwa hivyo hili la Hosea bileave you me litapita tu kama hakuna kitu just wait and see!