Dr. Hosea aitikisa Ikulu...

Nani aitikise Ikulu? Hosea? think twice. Hii ikulu yetu haijawahi kutikisika na mambo mengi tu ya msingi itakuwa la Hosea na Wiki leaks cables?

Ni kwamba Ikulu yetu haijawahi kuwa serious kwa mambo ya msingi ambayo ndio yanapasa kuitikisa. Mambo hayo ni pamoja na swala la mikataba tete ya madini, uchafuzi wa mazingira na wawekezaji ktk machimbo ya madini mfano North Mara, umeme, huduma za kijamii kama ubora wa elimu, hali duni za maisha ya watz wengi nk. Kifupi ni kwamba Ikulu yetu haiwajibiki kwa wananchi it is rather the opposite kwa hivyo hili la Hosea bileave you me litapita tu kama hakuna kitu just wait and see!
 
Huyu Jk hata yeye ni mchafu ndio maana anaona soni kuwanyooshea vidole Mafisadi maana hata yeye ataumbuka. Ili kukomesha na kutokomeza ufisadi ni lazima kuitokomeza ccm kwanza. Huwezi kutenganisha ccm na ufisadi halafu wanajifanya wao ni matajiri kwa kuchote pesa zetu walipa kodi. CCM NI GENGE LA MAFISADI AMINI USIAMINI.
 
Kuna kitu kinamfanya Dr Hosea kushindwa kutimiza expectations ya ofisi yake na Watanzania

PCCB Mandate: Investigate and, subject to the directions of the Director of Public Prosecutions, prosecute offences under this Act and other offences involving corruption
​Mandate

Dr. Hoseah.JPG


Kitu tunakifahamu mpaka sasa hivi ni kwamba Dr Hosea alipewa hii position ili kikwete aonekane ni mpiganaji wa rushwa mbele ya donors na hasa US Embassy Tanzania. Ukifuatilia kwa undani zaidi na kuchambua utendaji wa kazi wa ofisi ya Dr Hosea unasummarize mambo yafuatayo. Dr Hosea hana power yeyote kama investigative authority au zaidi ya attorney general wa serikali. Pili, Dr Hosea hana power ya ku-subpoena documents zozote kwa ajili ya ushahidi. Tatu,ofisi ya Dr Hosea haina power yeyote ya ku-conduct search kwenye ofisi za serikali wala majumbani kwa washitakiwa. Kibaya zaidi hii ofisi haina ok mpaka waziri wa ofisi ya raisi atoe ok kutoka kwa kikwete na mbaya zaidi kuna watu kutoka usalama wa taifa na jeshi la polisi (ffu wamafisadi) wamewekwa kwa ajili ya kulinda any kind of evidences zisitolewe kwa PCCB na public. Kilicho tokea zaidi ni revelations za kwamba Dr Hosea anahofia maisha yake yapo hatarini, hii ilitoka kwenye Wikleaks reports. Kunaonekana wazi kuna njama zilikuwa zinaendelea kutaka kummaliza Dr Hosea na kazi yake PCCB. Kutokana na hizi recent events, tunajua fear, intimidation na weak authority ya PCCB tunaona matokeo yake Richmond, EPA, Dowas, Madini, na rushwa zinatangazwa hadharani.

TheTanzanian prosecutor investigating worldwide misconduct by BAE, Britain's biggest arms company, confided to US diplomats that "his life may be in danger" and senior politicians in his small African country were "untouchable".
A leaked account of what the head of Tanzania's anti-corruption bureau, Edward Hoseah, termed the "dirty deal" by BAE to sell Tanzania an overpriced radar system, is revealed in the US embassy cables
WikiLeaks cables: Tanzania official investigating BAE 'fears for his life' | World news | The Guardian

The worse thing ni kwamba Dr Hosea ni kama vile hayupo tena Tanzania ila amechukua likizo ya muda. Tunaona zaidi ni ofisi za bunge, raisi na ccm - nape wamechukua hatua za kugeuza kazi ya PCCB kuwa ya magamba na kikwete kugombania wala madawa badala ya madawa ya rushwa nono.

Je kwanini PCCB hawakutoa press release kuhusu ujasusi wa chenge?

Je kwanini PCCB hawaulizwa wala kutoa press release kuhusu mapacha watatu wa ccm (lowassa, chenge na rostam)?

Je kwanini Dr Hosea hazungumziii hadharani kuhusu ujasusi wa mkapa? au legal path ya ku-prosecute raisi fisadi?

Je kwanini Dr Hosea hakutoa press release kuhusu changes zinazo hitajika hasa kuhusu constitution power ya PCCB?

Au Dr Hosea ameamua kujiunga na mafisadi na kuwa corrupt sasa kutokana na support ya wananchi haionekani?

WE ARE GOING TO THE SAME POINT, Dr HOSEA IS STILL FEAR FOR HIS LIFE. Dr HOSEA KNOWS HE DOESN'T TRUST KIKWETE AND ALSO NO ONE IN CCM OR TANZANIA GOVERNMENT.


http://www.guardian.co.uk/world/2010/dec/19/wikileaks-cables-tanzania-bae-fears

http://in2eastafrica.net/pccb-probes-government-funds-thieves/]Home

More from WikiLeaks: Tanzania and the Fight to Stop Airbus Sale
 
Tunangojea kitu gani Dr Hosea ataongea hivi karibuni, kuna uwezekano akajiuzuru hivi karibuni na kuingia private sector yeye mwenyewe. Nani anapenda kufanya kazi na mafisadi?
 
Back
Top Bottom