Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,125
- 1,432
Naomba kidogo maelezo kidogo juu ya huyu jamaa kuwa ni nani maana umekuja na habari kidogo na amefanya nini katika Taifa letu??
Mimi ni moja ya masomo yangu ambayo nasoma pia kama ndiyo hivyo basi itakuwa safi sana kama akienda kufundisha university of Dodoma, na pia alikuwa huko, kuna kipindi fulani alikuwa anajadiliwa humo ndani ya JF ndio yeye okayNi miongoni mwa watanzania wachache sana waliobobea katika fani ya uchumi. Amefundisha pamoja na kufanya tafiti mbalimbali za uchumi nchini uingereza kati ya mwaka 2000 hadi 2009, katika chuo kikuu cha south bank kilichopo jijini london. Amejikita zaidi katika fani ya resource economics.
Asante sana kwa ajili ya hilo na pia watu wengi sana wanaweza kuwa na michango katika taifa ila wanaweza kushinda hata tunzo ya Nobel katika uchumi kama kweli wanafanya vitu vizuri ssanaAliwahi kujadiliwa sana hapa JF, japokuwa members wengine walimbeza. fuatilia link hii https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/29007-dr-shayo-wa-uk-si-bingwa-wa-uchumi-2.html
Jambo jema kurejea nyumbani kuja kuendelezaa vizazi kupitia elimu. Natumai OUT na wasomi wa Tanzania watafaidi mchangoo wako katika kukuza elimu nchiniHabari zilizojiri jijini Dar es salaam ni kwamba Dr.Shayo ameanza rasmi kumwaga lecture kama mhadhiri mwandamizi wa uchumi, chuo kikuu huria cha tanzania. Hongera sana Dr.Shayo. Nchi inahitaji wazalendo wenye moyo kama wewe. Tunakutakia kila jema, katika majukumu yako ya kuelimisha taifa letu changa.
Thats very good.
Hivi jamaa amesoma wapi degree zake?
Jamani nauliza maana siku hizi Tanzania tunadanganywa sana na "hawa wasomi waliobobea". Wanaenda wanadaka degree zao kwenye vyuo vya "voda fasta" wanakuja kama ma-dr kushape sera za nchi yetu kama akina Nagu na Nchimbi. Ofcourse..once beaten..twice shy.
So wenye CV ya huyu daktari aliyebobea..waimwage hapa!
Masanja,
Ni miongoni mwa watanzania wachache sana waliobobea katika fani ya uchumi. Amefundisha pamoja na kufanya tafiti mbalimbali za uchumi nchini uingereza kati ya mwaka 2000 hadi 2009, katika chuo kikuu cha south bank kilichopo jijini london. Amejikita zaidi katika fani ya resource economics.
Naomba unifahamishe Mkuu,
Kuna kazi yake yoyote aliyofanya iliyowahi kuwa published kwenye anga za kimataifa??
Ni miongoni mwa watanzania wachache sana waliobobea katika fani ya uchumi. Amefundisha pamoja na kufanya tafiti mbalimbali za uchumi nchini uingereza kati ya mwaka 2000 hadi 2009, katika chuo kikuu cha south bank kilichopo jijini london. Amejikita zaidi katika fani ya resource economics.
Amepublish katika You Tube, Michuzi na magazetini!!!! heheheheheTanzania bwana inafurahisha sana Bongo Tambarare bwana Kwanza jamaa ni Senior Research Fellow meaning that anafanya utafiti hapo South Bank na si lecturer inawezekana part ya contract yake afundishe hapo chuoni. Sasa inaelekea mshkaji anatafuta ajira bongo ikiisha contract ndio maana yupo busy michuzi na you tube na katika magazeti ajulikane

Hahahahah ama kweli duniani kuna mambo. Mkuu unaamanisha PUBLICATIONS KAMA HII HAPA CHINI?
YouTube- Chagga wedding storm London in 2009