Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,125
- 1,432
Habari zilizojiri jijini Dar es salaam ni kwamba Dr.Shayo ameanza rasmi kumwaga lecture kama mhadhiri mwandamizi wa uchumi, chuo kikuu huria cha tanzania. Hongera sana Dr.Shayo. Nchi inahitaji wazalendo wenye moyo kama wewe. Tunakutakia kila jema, katika majukumu yako ya kuelimisha taifa letu changa.