Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 4,820
- 8,886
Wewe mchokozi masanja kwanini usigoogle au kutumia search engine zenginezo kupata detail za huyu jamaa mie nimekuta jamaa yupo London South Bank University anafundisha department of engineering. Sitaki katika hoja ya hadhi ya chuo naogopa wapenzi wake wasije kunimeza but in short it is a bit suspicious chuo hata katika rankings kinashika mkia in UK.
Mgoogle jamaa unaweza kubahatika kupata paper yake moja ya economics
Hahahahah...mkuu..hapana bwana hili ni swali legit. Najua na yeye anaingia humu.
Unajua kama umeamua kuwa public figure kwa kutoa comments kwenye maswala yanayolihusu taifa letu na watu wake kama huyu muungwana, basi hatuna budi kukujua wewe ni nani-kitaaluma!. Kwa hiyo naomba tena mwenye CV ya jamaa yetu ailete hapa. Nimeuliza google nimeona yuko na university moja matata sana ya London South Bank. Mabyo iko ranked kwenye vyuo vya UK. Maana kuna vingine tunavisikia redioni wakati hata kwenye ranking havipi ati!
Hebu tupeni CV yake. Maana sisi wasukuma tumeshaambiwa ndo tunaongoza kwa PhD fake, hatutaki kuwaambukiza wengine ;-)
Masanja