Safi sana Dr wa ukweli piga kazi.
Safi sana Dr wa ukweli piga kazi.
Mhe Mwakyembe ni jembe kweli kweli ila yuko mahali pabaya, naomba tafadhari huyu mtu aongezewe ulinzi aweze kufanya kazi bila wasi wasi!!!Waziri wa uchukuzi awasiri mkoani Tabora leo tokea Kigoma.
![]()
Akiwasiri na train.
![]()
Akiteremka.
![]()
Akipokewa na mkuu wa mkoa Tabora
Baadhi tu ya mawaziri ndiyo wanafanya kazi kufa na kupona,wengi wao wamelala usingizi wa pono!!
Baadhi tu ya mawaziri ndiyo wanafanya kazi kufa na kupona,wengi wao wamelala usingizi wa pono!!
Kwanini KIKWETE hakumpa tuzo siku ya Uhuru?Safi sana Dr wa ukweli piga kazi.
si ndio hao waliomnyima tuzo siku ya uhuruhivi waliotaka kumuuwa hodari wetu wameshachukuliwa hatua?.
Kwanini KIKWETE hakumpa tuzo siku ya Uhuru?
Dr H Mwakyembe na Dr Magufuli ni majembe ya ukweli ......