Wweed
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 255
- 42
Kauli yangu ya jana imewashtua wengi, nimepigiwa simu na kujibu meseji nyingi sana, kilichonishtua ni pale nilipowakuta wazee wa3 na vijana wa2 nyumbani kwangu wakinisubiri kutaka kujua ukweli kama najipanga kuacha siasa ama vipi! Nawaomba radhi wote niliowashtua kwa kauli ile na ninawataarifu kuwa bado natafakari kama nitagombea tena Ubunge ama la. Nimegundua kumbe kazi yangu inawagusa wengi. Ahsanteni sana!
Haya maelezo yapo kwenye wall ya mkuu Kigwangala kwenye ukuta(wall) ya tizama kitabu (facebook).
Karibuni wadau
Kama ataendelea kuwa mtumwa wa MAFISADI na kuto-pigania maslahi ya wananchi/taifa ni bora arudi kwenye BIASHARA zake za KICHINA.aache ubabaishaji tulisha kichoka chama chake na yeye ametuboa kuwa mtumwa.