Dr. George Kahangwa kugombea urais kupitia Upinzani

kikilo

Senior Member
Jan 13, 2013
114
70
Wakuu,
Tetesi kutoka UDSM main campus ni kwamba mmoja wa madaktari vijana wa falasafa Dr George Leonard Kahangwa huunda akachukua fomu kugombea urais wa JMT kupita muungano wa UKAWA (Chanzo watu walio karibu na mgombea mtarajiwa). Namtakia kila la heri katika uthubutu huu.
 
Kwa taarifa jamaa yupo vizuri. Mimi nimechoka na hawa wanasiasa, yeye anaingia kwenye mchakato kwa ajili ya kulisaidia hili taifa lilopotezwa mwelekeo na wanasiasa. kama shule amesoma vizuri kuliko hao wanaojitangaza huko chama tawala
 
Hivi mnafikiria kuwa Rais wa nchi ni sawasawa na kuwa mjumbe wa nyumba 10?

Hizo fikra ziko kwenye chama cha magamba, ambapo hadi sasa walioonyesha nia ya kugombea Urais ni kwa idadi ya makumi kadhaa.

Upande wa Ukawa, wanaamini kuwa Urais ni kazi ya utumishi wa Umma, kwa kuzingatia uadilifu na uaminifu wa hali ya juu, na ndiyo maana upande wa Ukawa hawakimbilii kwenda İkulu kama wale wenzao wa Chama Cha Maescrow, ambako mwanachama yeyote wa chama hicho anaamini ana uwezo wa kuwaongoza watanzania milioni 45!
 
Hivi mnafikiria kuwa Rais wa nchi ni sawaswa na kuwa mjumbe wa nyumba 10?

Kumbuka hiyo ni haki yake ya kikatiba
 
Kwa taarifa jamaa yupo vizuri. Mimi nimechoka na hawa wanasiasa, yeye anaingia kwenye mchakato kwa ajili ya kulisaidia hili taifa lilopotezwa mwelekeo na wanasiasa. kama shule amesoma vizuri kuliko hao wanaojitangaza huko chama tawala

Kama taifa limepotezwa mwelekeo na wanasiasa awe mgombea binafsi asitafute mbeleko ya ukawa ambao ni muungano wa wanasiasa,
 
Hivi mnafikiria kuwa Rais wa nchi ni sawaswa na kuwa mjumbe wa nyumba 10?

Hizo fikra ziko kwenye chama cha magamba, ambapo hadi sasa walioonyesha nia ya kugombea Urais ni kwa idadi ya makumi kadhaa.

Upande wa Ukawa, wanaamini kuwa Urais ni kazi ya utumishi wa Umma, kwa kuzingatia uadilifu na uaminifu wa hali ya juu, na ndiyo maana upande wa Ukawa hawakimbilii kwenda İkulu kama wale wenzao wa Chama Cha Maescrow, ambako mwanachama yeyote wa chama hicho anaamini ana uwezo wa kuwaongoza watanzania milioni 45!
Hayo ni maoni yako. Hata hivyo huyu si kwamba anakimbilia IKULU. Wananchi na wanaukawa watampima kwa uwezo na mkakati wake wa kusaidia Taifa. Naamini hofu ya wanaJF ni kwamba kule ukawa kuwe na mgombea mmoja tu kitu ambacho sio kizuri kwa demokrasia dani ya chama maana tunahitaji maono tofauti ya kujenga nchi.
 
Wakuu,
Tetesi kutoka UDSM main campus ni kwamba mmoja wa madaktari vijana wa falasafa Dr George Leonard Kahangwa huunda akachukua fomu kugombea urais wa JMT kupita muungano wa UKAWA (Chanzo watu walio karibu na mgombea mtarajiwa). Namtakia kila la heri katika uthubutu huu.

Waulize pia cv yake alafu tubandikie hapa ndipo tutakwambia kama agombee udiwani au aendelee na ndoto yake
 
Back
Top Bottom