Dr. George Kahangwa kugombea urais kupitia Upinzani

Nimefuatilia sana siasa za Tanzania kwa muda mrefu na mafanikio ya upinzani. Naona Dr George Kahangwa ni mtaji wa UKAWA kwa sababu zifuatazo:

1. Katika uchaguzi huu vijana ndio msingi wa ukawa na Dr George Kahangwa anawakilisha rika la vijana
2. Wagombea wengine walishagombea (DR Slaa, Mbowe, Prof. Lipumba) chaguzi zilizopita wakagaragazwa na CCM hivyo hawana hoja mpya
3. Upya wake kama mgombea wa upinzani, CCM hawana hoja la kumpiga nalo maana hana makovu na makundi.

Tujadili hoja tuache matusi
Asanteni
 
Namkubali sana mwalimu wangu wa educational management. He is smart darasani. But urais mhh
 
Muhaya ? Yaani hatujSahua mambo ya rugemarila na tibaijuka anataka kuja huyu? Bora awe mkara
Acha ukabila wewe, kuna uhusiano gani kati ya ufisadi na ukabila.? Kwahiyo watu wote Arusha hawafai kuwa viongozi au maraisi kwa sababu ya Lowasa kwa kashifa ya ufisadi wa Richmond? Badilika sana ndugu yangu, sisi hatuangalii kabila tunaangalia uwezo wa MTU.
 
Naona huyo George kahangwa mwenyewe analike kila comment it's either mnatuletea utani au stupid post!
 
Mheshimiwa.
Dr.kahangwa ni nani!! a part from personal biography what specifically has he done for our country and in this i mean tangible accomplishment !! Hope he is not going to run on biograghy that won't be near enough to get us to the promise land. nitashukuru kwa ushirikiano wako.
 
URAIS WA NINI KWANZA MTOA HOJA ATUWEKE WAZI
maana kuna rais wa Manzese, kuna Rais wa MCB, kuna Rais kila kona,,,. ingekuwa 2020 imefika nisingeuliza hili swali.
 
Back
Top Bottom