Dr. Emmanuel boaz- daktari wa mifupa

Who Cares?

JF-Expert Member
Jul 11, 2008
3,509
3,353
Wadau natumai wote mu wazima wa afya njema. Naomba kwa yeyote anayeweza kunipatia contacts za dr. Emmanuel boaz ambaye ni daktari mtaalamu wa mifupa anisaidie maana bi mkubwa anasumbuliwa na maradhi ya mifupa soo alimsikia huyu bwana akihojiwa itv mwaka jana sasa ameamua kumtafuta ili amsaidie tatizo ni mawasiliano yake. Natanguliza shukrani za dhati...we are great thinkers
 
Who Cares?

JF-Expert Member
Jul 11, 2008
3,509
3,353
Guys come on..dont u care for ma mom's problems..pleasee nisaidieni tafadhali...nimekuja huku kwa madaktari nikiamini kabisaa naweza kumpata huyu dr na tatizo la b mkubwa litakwisha....tafadhali nisaidieni
 
Lutu2

Member
Mar 11, 2010
37
16
Wadau natumai wote mu wazima wa afya njema. Naomba kwa yeyote anayeweza kunipatia contacts za dr. Emmanuel boaz ambaye ni daktari mtaalamu wa mifupa anisaidie maana bi mkubwa anasumbuliwa na maradhi ya mifupa soo alimsikia huyu bwana akihojiwa itv mwaka jana sasa ameamua kumtafuta ili amsaidie tatizo ni mawasiliano yake. Natanguliza shukrani za dhati...we are great thinkers

Mkuu pole kwa kuuguliwa
Dr Emanuel anapatikana thru 0713 236164
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom