Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
Mkwere anataka kuoa mke mwingine,maana kakabwa kweli. anajuta kuchakachua. anawaza safari za nje safari hii sijui itakuwa vipi. euronews wamerusha picha za kikatili wa polisi zidi ya maandamano ya amani ya waTZ. hapohapo kuna wikiliki inamsubiri. hapohapo kuna mgao wa umeme. hapohapo kuna dowans. hapohapo kuna kupanda kwa gharama ya umeme licha ya kuwa umeme wenyewe tiamaji-tiamaji. Slaa mwenyewe katulia tuli. kama maji mtungini. hana tyme. lakini mambo ya government ya jk hayaendi kabisa. hajui hata aanze na lipi amalize na lipi. jk sasa anatia huruma.
inabidi amuite Slaa ili ampe u-PM? kama alivyofanya mwenzake Kibaki?
Magufuli alitosha kuwa PM lakini sijui kwanini wamemrudisha huyu harmless creature!
Ndoto za Alinacha
Angekuwa anaona mbali asingeweza kuuvaa mkenge uliomtia doa kwa wastaarabu.hauamini kama Dr. Slaa anaona mbali kuliko JK?
hauamini kama Dr. Slaa anaona mbali kuliko JK?
Mkuu,
Nilishawahi kusoma humu JF kuwa haitakikani serikali mseto bara.
Jee mawazo yameshageuka? CHADEMA itakubali "kuolewa" na CCM?
CHADEMA iko tayari "kulala kitanda kimoja" na CCM?
CHADEMA inataka kuwa CCM-D?
Na DR. anataka kuwa msaliti, mpenda madaraka?
Mkuu, mimi sikubaliani na matumizi ya maneno hayo kwenye red lakini napima joto vipi watu watayapokea haya inapotajwa Chadema? Wao hupenda kuyatumia wanapokejeli, wanapodharau vyama vyengine. Pitia threads humu JF utayaona hayo.
Si uungwana hata kidogo yanapotumika kuonesha kejeli kwa vyama vyengine pia..
Huo uchafuzi wa uchaguzi na serikali mseto unakuwa utamaduni mpya, fashion ya demokrasia mpya ya Afrika kwa sasa.
maana kakabwa kweli. anajuta kuchakachua. anawaza safari za nje safari hii sijui itakuwa vipi. euronews wamerusha picha za kikatili wa polisi zidi ya maandamano ya amani ya waTZ. hapohapo kuna wikiliki inamsubiri. hapohapo kuna mgao wa umeme. hapohapo kuna dowans. hapohapo kuna kupanda kwa gharama ya umeme licha ya kuwa umeme wenyewe tiamaji-tiamaji. Slaa mwenyewe katulia tuli. kama maji mtungini. hana tyme. lakini mambo ya government ya jk hayaendi kabisa. hajui hata aanze na lipi amalize na lipi. jk sasa anatia huruma.
inabidi amuite Slaa ili ampe u-PM? kama alivyofanya mwenzake Kibaki?
ishu siyo chadema kuwa mume wa ccm.
ni kwamba nchi yetu ina hali mbaya. serikali inawaza namna ya kutatua matatizo badala ya kuwasaidia waTZ kupiga hatua kimaendeleo.

Hahahaaaaaa kaka sasa unaanza kunishangaza ..... SERIKALI GANI INAWAZA KUTATUA MATATIZO???? au umepotoka hapo???
Angekuwa anaona mbali asingeweza kuuvaa mkenge uliomtia doa kwa wastaarabu.
Unaonaje hii ikawa homework yako?Taja wastaarabu watano tafadhali maana kwa hiyo avatar yako sina uhakika wastaarabu unaomaanisha ni akina nani hapo??? please.......
ishu siyo chadema kuwa "mume???" wa ccm.
ni kwamba nchi yetu ina hali mbaya. serikali inawaza namna ya kutatua matatizo badala ya kuwasaidia waTZ kupiga hatua kimaendeleo.