Dr. Dau bado anatumia magari ya NSSF

Acha umbea wew ulitaka apande daladala kama wewe
Sio kupanda daladala yeye sio mfanyakazi wa NSSF kwanini ang'ang'anie magari ambayo hayamhusu si atembelee magari ya wizara ya ,mambo ya nje ambaye ndie mwajiri wake wa sasa?haya ndio mambo ya wafanyakazi hewa mkuu ?
 
Wagalatia wao walimlipua mwana wa mungu wa pekee pale msalabani ! mungu kabaki. bila mwana sasa. Wenyewe kuua mtu wanaita ukombozi na wameweka sherehe kabisa ya kuadhimisha wanaita Pasaka
 
Lazma achukiwe kwa kuwa yeye ndo aliyeanzisha chuki,zaidi ni mwizi aliyebobea subiria ripoti zitoke ndo utajua huyu firauni alokuwa jizi na atapewa ubalozi gereza LA maweni tanga
Utakufa nacho kijiba cha roho mgalatia, mungu wako ni wa kinyago tu na hizo dua zako zitakurudia mwenyewe !
 
Wandugu,

Leo nimemuona Dau akiwa na gari ya NSSF.Je, bado anahudumu NSSF?

Ikumbukwe kuwa baada ya kutumbuliwa alokuwa wanaenda ofisini na ku approve baadhi ya mambo hadi alivyopigwa stop na approval zote kuwa null and void.
Allah tuepushe na hasada za mahasidi wenye kuhusudu !
 
Wandugu,

Leo nimemuona Dau akiwa na gari ya NSSF.Je, bado anahudumu NSSF?

Ikumbukwe kuwa baada ya kutumbuliwa alokuwa wanaenda ofisini na ku approve baadhi ya mambo hadi alivyopigwa stop na approval zote kuwa null and void.
Acha unafiki wako ametumbuliwa lini acheni chuki za kipumbavu kuhamishwa sehemu ni kutumbuliwa ndio mana hata magufuli amewaumbua myonge mnyongeni haki yake mpeni mashavu yamewashuka leo unakuja na habar ya gari hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…