DR-Congo yawa mwanachama wa EAC

DR-Congo yawa mwanachama wa EAC

Nini faida ya hizi "Regional Groupings" kwa wananchi wa mataifa hayo kwa sababu ukitaka kusafiri lazima uwe na pasipoti ya kusafiria, kupata ajira kwenye nchi nyingine hakuna.

Ukiagiza bidhaa kutoka nchi yoyote mwanachama lazima ulipie ushuru. Jumuiya hizi hazina kabisa faida kwa wananchi, watawala wanapiga siasa tu, hamna lolote.
Vigurupu kibao na faida zake ndogo Kwa Muafrika wa kawaida. Tz ni mwanachama wa EAC + SADC , Kenya na Uganda (EAC + IGAD + COMESA ) Ili mradi tafrani tu. Zingekuwepo nne au tano Kwa Afrika yote na baadae zkieelekee kwenye kuwanufaisha raia.
 
... in terms of geographical location Somalia and Somaliland ziko pazuri zaidi kuwa kwenye EAC kuliko DRC ambayo ni Central Africa. Jina la Jumuiya libadilishwe sasa; Central and East African Community - CEAC.
Instability ya Somalia ni kubwa kuliko hali ilivyo DRC..so kwangu naona bora DRC kuliko Somalia
 
... in terms of geographical location Somalia and Somaliland ziko pazuri zaidi kuwa kwenye EAC kuliko DRC ambayo ni Central Africa. Jina la Jumuiya libadilishwe sasa; Central and East African Community - CEAC.
Central African community ondoka hilo jina Central
 
Yaani tutapeta ni basi tu! Mungu huko uliko utusimamie kwakweli EAC YETU tufike salama! Baba sisi wanao Wayahudi original tunakuomba kwa machozi ya Damu!

Mlete Ethiopia na Somalia bila kuka sahau katoto katukutu Eritrea! popote kalipo natuma Malaika wakasake wakalete kaje humu! tumeteseka vya kutosha! damu ya wanao ilimwagika mnoo tuonee huruma Baba yetu!

tuanaahidi tutakuheshimu na kuzitunza amri zako kumi na kukusubiri kwa hamu uje kutunyakua!! Wapige upofu maadui zetu wasituone jumuiyani! wastukie tu kitu vaaamp!

Na hiki kitoto kingine cha kambo kichoyochoyo! kile Ushelisheli kamata kwa mkono wako wenye nguvu kilete humu! ili tujue ukuu wako tunaahidi watu wako kuzifuata sheria zooote kumi!
 
Back
Top Bottom