DR Congo: Mahakama ya Kikatiba yamtangaza Tshisekedi mshindi wa Urais na kutupilia mbali pingamizi la Fayulu

Nasikia Umoja wa Afrika wamekutana kuwataka Congo kusitisha kutangaza matokeo, ila yanayotokea Sudani kwa Bashiru wala hawana habari.

kwa bashiru hayawahusu kwa sababu! PILIPILI USIYOKULA INAKUWASHIA NINI? TUNANGOJEA WAUANE TWENDE TUKAWALINDE.............

TUNAWAKUMBUKA MAKAMANDA WOTE WALIOKUFA KWA MAPAMBANO.
SIFA IMO TUMPILIPILI, SIFA IMO TUMPALEPALE
AIYAIYA NDELEMOO, OOOH! NDELEMO.
 
Back
Top Bottom