BBC wametangaza kuwa maasi yamefumuka tena huko Mashariki ya Congo, DR na kwamba zipo tuhuma za maasi hayo kuchochewa na kuungwa mkono na Rwanda.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda katika mahojiano na Zainabu Bedawi wa BBC amekanusha tuhuma hizo. Na kuongeza kwamba kitenda cha jumuiya ya kimataifa kuendelea kutafuta mchawi nje ya DRC ni kukwepa ukweli wa matatizo ya amani katika nchi hiyo na hatawezekana kupata ufumbuzi. Ni sawa na mbuni kuzika kichwa kwenye mchanga wakati nyika zinaungua.
Hoja yake ni mkwamba matatizo ya uongozi wa DRC yamulikwe na kwa tochi yenye mwanga mkali.
Nimempenda sana huyu mama kwa sababu siye waswahili tumeanza kujenga usugu wa kulaumu watu wengine kwa matatizo yanayosababishwa na uongozi legelege. Kuna mwenye kubisha?