Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

mkuu hata kama sio kweli, kwa gharama hizi ulizoweka mbona ni kama mashangingi manne au matano tu?....serikali ina utitiri wa hayo mashangingi....haikuona umuhimu hata kuwa na CT scan moja au mbili mpya kwa ajili ya HOSPITALI YA TAIFA narudia tena HOSPITALI YA TAIFA .... shida ya serikali yetu ni priorities, wangeboresha hata mazingira ya kazi hilo swala la mishahara wakawaambia litelekezwe pole pole kwa jinsi bajeti inavyoruhusu.....inatia aibu national hospital na referral hospital kukosa vifaa muhimu halafu unaambiwa nenda agakhan au regency hospital..... saa ingine mtu wa kawaida unaweza jiuliza ni sabotage au ni nini hii .... waziri anapata ajali anaenda chukuliwa kipimo hospitali ya regency (private) kisa eti hicho kipimo hospitali ya taifa ni kibovu, na wahusika wako kazini na wanavuta mishahara tu

Huyo Daktari ni muongo wa kutupwa, siku hizi kila kitu kiko wazi, gharama ya CT scan hii hapa:

the compute tomography machine costs depends upon the technology systems
siemens ------------------200000 usd approx
toshiba -------------------180000 usd approx
beckam coulter------------250000 usd approx
sharp------------------------200000 usd approx
ge----------------------------300000 usd approx
phillips ----------------------140000 usd approx

Plus software and technician time. We just got a new siemens definition and its costing 450k (minus software upgrades) so that 200k is really low ball.

There is also the cost of the Tomography room where the unit sits in. It consists of specialty HVAC system that provide perfect humidity and temp.control. Also specail independent electrical circuits to power the equipment, and RAM (radio absorbent)materials for the walls. The cost of a CT room can varry from $250,000- $750,000.
 
Naomba soma post namba moja na kichwa cha habari kinasema nini, mbona mnashindwa kumwambia mleta mada kuwa ni uongo?
 
mheshimiwa nimekuelewa point yako....wewe ni kama spika wetu bi makinda anayeshikilia kanuni kuzima points ambazo ni muhimu

yes mleta mada amekosea kusema bei ya CT scan moja ni sawa na shangingi moja

ILA utakubaliana nami kuwa ujumbe umefika kwamba wakipunguza ununuzi wa mashangingi yanayotumiwa na mtu mmoja, wanaweza kununua vifaa vingi muhimu kwa HOSPITALI YA TAIFA + referral hospitals kwa manufaa ya watanzania walio wengi .... UJUMBE SENT!!!

Kwa kuwa umekubali kuwa mleta mada kasema uongo sasa tuendelee.

Hayo ya mashangingi sasa hivi sio mjadala tena, juzi Mheshimiwa Pinda Bungeni kisha toa tamko kuwa kuanzia sasa Gari zisizidi cc 3000. Mashangingi yanayoongelewa hapa yenye gharama kubwa ni VX 8 ambazo zinaanzia CC 4000 na zaidi.

Hapo hatuna mjadala zaidi. Au hukumsikiliza Waziri Mkuu Bungeni akijibu hoja hiyo?
 
kama imechukua miaka 7 kugundua hilo then aliyesema tuna serikali dhaifu hakukosea

mashangingi ni kiitu kimojawapo tu ambacho kingeweza kusave gharama zisizo muhimu ili kupeleka maendeleo na huduma muhimu kwa wananchi...... posho za vikao wakati ni sehemu ya kazi, mikutano kuhamisihiwa nje ya miko ili watu wapate per-diems tu, majengo ya serikali yana kumbi za mikutano lakini bado vikao vya serikali vinapelekwa hotel binafsi tena nje ya mkoa, marekebisho ya mikataba mibovu hasa ya madini ....NIENDELEE?

Zomba Je miela ya wakubwa zako wanayoiba na kuficha njekila kukicha haiwezi kununua hizo CT. Wewe ni mchawi tu kazi zenu kungoa watu meno na kucha mlaaniwe
 
kama imechukua miaka 7 kugundua hilo then aliyesema tuna serikali dhaifu hakukosea

mashangingi ni kiitu kimojawapo tu ambacho kingeweza kusave gharama zisizo muhimu ili kupeleka maendeleo na huduma muhimu kwa wananchi...... posho za vikao wakati ni sehemu ya kazi, mikutano kuhamisihiwa nje ya miko ili watu wapate per-diems tu, majengo ya serikali yana kumbi za mikutano lakini bado vikao vya serikali vinapelekwa hotel binafsi tena nje ya mkoa, marekebisho ya mikataba mibovu hasa ya madini ....NIENDELEE?

Endelea tu, usifikiri hayo yameanza leo, imechukuwa miaka 50 kulielewa hilo. Ngoja nikupe kisa cha wakati wa Nyerere, nna uhakika haukuwepo:

Nakumbuka wakati tuna dhiki, hata kula hatuna mwaka 1979, Nyerere kwa kujifaharisha akaagiza benzi (Mercedes Benz) mpya za kifahari (presidential) 77 na escort ya hizo Benz ni Benz zingine 3 x 77 = 231 + 77= 308, akajenga na hoteli ambayo imekufa huko Arusha inaitwa 77, yote hiyo kujifaharisha na kujionesha kuwa hana dhiki na ujamaa ni mzuri wakati anajiumiza yeye mwenyewe. Na hiyo ilikuwa ni kuwakirimu wageni kwa wiki moja tu ya Mkutano wa "Group of Seventy Seven". Upo hapo ulipo?

Huoni kuwa ni vyema kuwa hao wote wa kabla yake hawakuliona kaja kuliona Kikwete na kulirekebisha ni achievement kubwa sana.
 
sasa mkuu naona unachekesha .... kwa kuwa nyererere alifanya kitu flani hai justify kikwete kufanya uzembe huo huo

watu wangeelewa kama kikwete angeendelea pale alipoacha mkapa kwa kurekebisha kasoro alizoziona ..... ndivyo mwinyi alivyofanya alipoingia madarakani na ndivyo mkapa alivyofanya alipoingia madarakani pia

kikwete atashukuriwa kwa uhuru wa kupata habari tu (ingawa bado baadhi ya vyombo vya habari hunyamazishwa kuhusu kutoa habari ambazo sio nzuri kwa serikali mfano mzuri TBC ambayo ilitegemewa iwe ndio kimbilio la wananchi wote)

tatizo la awamu ya nne ni .... jinsi ilivyoingia madarakani kwa pupa, kuona awamu ya tatu hawakufanya kitu, kuweka watu waroho wa madaraka na mali kupita kiasi ...

kama issue ni corrections ya magari, kulikua na ulazima gani wa kikwete kununua a series of BMW saloon and 4X4 cars plus a number of LEXUS (premium version of TOYOTA) and a lot of mashangingi kwa matumizi ya serikali wakati mercedes benz alizokua akitumia Mkapa ndio kwanza zilikua mpya

ukubali ukatae, serikali ya awamu ya nne imefuja sana hela kidogo tuliyokua nayo na tunaendelea kupata na kuitumia kwa matumizi yasiyo ya lazima huku huduma muhimu zikikosekana

nilitegemea kwa miaka hii michache iiliyobaki wangejirekebisha ila hawaonyeshi hivyo na huu ndio ukweli na hali halisi wananchi wa kawaida wanayoiona!

Viwanda alivoacha mwalimu vipo wp?mwalim alitupa huduma za afya bure nyie madini mnayachimba..vyote mmeuza na bado mnashndwa kununua Ct scan hata moja tena yenye gharama ya shangingi moja si hatutak hzo za bei mbaya tunataka hiyo ya bei rahis kabisa
 
sasa mkuu naona unachekesha .... kwa kuwa nyererere alifanya kitu flani hai justify kikwete kufanya uzembe huo huo

watu wangeelewa kama kikwete angeendelea pale alipoacha mkapa kwa kurekebisha kasoro alizoziona ..... ndivyo mwinyi alivyofanya alipoingia madarakani na ndivyo mkapa alivyofanya alipoingia madarakani pia

kikwete atashukuriwa kwa uhuru wa kupata habari tu (ingawa bado baadhi ya vyombo vya habari hunyamazishwa kuhusu kutoa habari ambazo sio nzuri kwa serikali mfano mzuri TBC ambayo ilitegemewa iwe ndio kimbilio la wananchi wote)

tatizo la awamu ya nne ni .... jinsi ilivyoingia madarakani kwa pupa, kuona awamu ya tatu hawakufanya kitu, kuweka watu waroho wa madaraka na mali kupita kiasi ...

kama issue ni corrections ya magari, kulikua na ulazima gani wa kikwete kununua a series of BMW saloon and 4X4 cars plus a number of LEXUS (premium version of TOYOTA) and a lot of mashangingi kwa matumizi ya serikali wakati mercedes benz alizokua akitumia Mkapa ndio kwanza zilikua mpya

ukubali ukatae, serikali ya awamu ya nne imefuja sana hela kidogo tuliyokua nayo na tunaendelea kupata na kuitumia kwa matumizi yasiyo ya lazima huku huduma muhimu zikikosekana

nilitegemea kwa miaka hii michache iiliyobaki wangejirekebisha ila hawaonyeshi hivyo na huu ndio ukweli na hali halisi wananchi wa kawaida wanayoiona!

Naona huelewi kuwa sasa uko kwenye utawala wa Kikwete ambao umesitisha kutumia magari ya zaidi ya cc 3000 kwa Serikali. Kitu ambacho hakijawahi kutokea kabla.

Na hilo alilofanya Nyerere ni madudu ambayo yalikuwa yanafanyika ambayo Kikwete hajawahi kuyafanya, ni kipi usichokielewa hapo? au ni lazima tu Kikwete awe mbaya? hata kama utawala wake haukufanya madudu aliyoyafanya Nyerere na utawala wake ndiyo wa kwanza kusitisha magari ya hasara?

Usi twist maneno. Kule umekiri kuwa mleta mada kasema uongo, sasa unakuja kutaka kumbambikizia Kikwete. Vipi?

Serikali inayofuja pesa itakuwa na akiba kuliko awamu yoyote ile? Duhh!

Oopss, nilisahau kukukumbusha kuwa awamu ya Kikwete si ya kukaa ofisini, ni awamu ya kutembea kila pembe ya Tanzania na benz au BMW za mjini hazifai huko, inabidi uwe na 4x4 za uhakika.
 
Kikwete ana mabaya mengi kuliko maraisi wote Waliomtangulia...miaka 50 ya uhuru nchi ya 3 kwa umaskini
 
Hivi mnaosema mtoa maada amedanganya huko mnakokaa hakuna magazeti?Nimetaja gazeti husika ambalo limemnukuu Dr.Chitage akitoa hiyo kauli. Sasa uongo wangu uko wapi?Nini maana ya kuweka chanzo cha habari?
Muwe mnajiongeza wenyewe.
 
Huyo Daktari ni muongo wa kutupwa, siku hizi kila kitu kiko wazi, gharama ya CT scan hii hapa:

the compute tomography machine costs depends upon the technology systems
siemens ------------------200000 usd approx
toshiba -------------------180000 usd approx
beckam coulter------------250000 usd approx
sharp------------------------200000 usd approx
ge----------------------------300000 usd approx
phillips ----------------------140000 usd approx

Plus software and technician time. We just got a new siemens definition and its costing 450k (minus software upgrades) so that 200k is really low ball.

There is also the cost of the Tomography room where the unit sits in. It consists of specialty HVAC system that provide perfect humidity and temp.control. Also specail independent electrical circuits to power the equipment, and RAM (radio absorbent)materials for the walls. The cost of a CT room can varry from $250,000- $750,000.

Really? So according to you, that justifies kwamba its better to invest on magari ya kifahari kuliko afya za watanzania?
 
Wakuu, kama sikusei, bajeti ya mkuu wa kaya kwenda nje ya nchi kwa mwaka uliopita ni kama Tsh 500,000,000,000, (Yaani bilioni mia tano) na wakati huo huo hizo safari zenyewe hatujaona umuhimu wake, chukulia kama ile safari yake ya Brazil with the first Lady, uzi uliobandikwa humu ulionesha gharama zilizotumikailikuwa ni Tsh 250,000,000, hivi hizo zote hazitoshi kununulia Hizo Scan? tufanye bei iliyoletwa na bwana Zomba ndio sahihi, gharama za mafunzo hapo to me still neglidible kwasababu hiyo machine ilikuwepo Muhimbili so kuna mtu/watu wapo wanalipwa wakati hawanyi kazi, njo kwenye gharama za X-Ray machine, hizo nadhani kwanza ni aibu ya mwaka kwa hospitali ya mkoa kutokuwanayo, tuliona juzi hospitali ya mkoa wa Tanga haina X-Ray machine; Hivi gharama za kumpeleka mgonjwa India au South Africa kwa matibabu hayo ni Tsh ngapi jamani na tunapeleka wangapi kwa mwaka?

Natofautiana kidogo na Zomba anaposema eti Kikwete amefanya mengi katika sekta ya afya, mbona ndio anayeongoza kutokuwa na imani na hospitali zetu? Mtakumbuka wakati fulani mzee Yusufu Makamba aliwahi kwenda India just for medical check up, hakua anaumwa, just medical check up while enzi za fisadi Mkapa, mkewe amewahi kutibiwa Muhimbili, hata marehem Dr Omari Ali Juma alitibiwa hapa hapa nchini, kitendo cha viongozi wa awamu ya nne kwenda India kwa matibabu hata ya Mafua ni aibu kubwa, tukubali tu mahali penye ukweli, kama nchi ya Rwanda isikuwa na rasilimali kama za kwetu inaweza kumlipa Dr anaeanza kazi kwa USD 1,500 na siye tuko na kila kitu then hata dola 1000 haifiki ni aibu.
 
Kazi kwelikweli!!!! Tutafika tu!
Hoja ya msingi ni DHAMIRA ya serikali kwa kulinganisha na hali halisi. Nyerere asingedhamiria na kutenda asingeweza kujenga viwanda lukuki wakati wa awamu yake. Kwa uchache - URAFIKI, SUNGURATEX, BIA, VIATU, SIGARA na vingi vingine. Aliweza katika mazingira ambayo nchi ilikuwa haijaanza hata kutumia rasilimali zingine nyeti kama Madini na hata ukusanyaji kodi haukuwa wa kiwango cha kisasa kama ilivyo sasa. Nini kinachoshindikana?

Ukifanya uwiano kwa kwa kigezo cha nyakati - Hakuna yeyote (Mwinyi, Mkapa,Kikwete) ambaye amefanya uwekezaji kumfikia Nyerere kwa kuzingatia ongezeko la watu na ukuaji wa teknolojia. So chochote kitakachofanywa sasa ni kuboresha zaidi pale alipoachia. Pata picha ya idadi nyingi ya hospitali zilizopo ziilijengwa wakati wake, majengo mengi hata nyumba za serikali wamerithi. Jambo la msingi ni Vipaumbele na DHAMIRA!!!!
 
Kwa kuwa umekubali kuwa mleta mada kasema uongo sasa tuendelee.

Hayo ya mashangingi sasa hivi sio mjadala tena, juzi Mheshimiwa Pinda Bungeni kisha toa tamko kuwa kuanzia sasa Gari zisizidi cc 3000. Mashangingi yanayoongelewa hapa yenye gharama kubwa ni VX 8 ambazo zinaanzia CC 4000 na zaidi.

Hapo hatuna mjadala zaidi. Au hukumsikiliza Waziri Mkuu Bungeni akijibu hoja hiyo?

Uongo huu V8 ni cc 5000 na kuendelea.
 
Priority yetu sio kununua hizo machine...ni kuhakikisha waheshimiwa wanatembea na kukaa kwenye ofisi nzuri maana wakiumwa wanapelekwa India.
 
Back
Top Bottom