We uko kipande gani
haya kale lunch acha kupoteza muda na pc ukijifanya busy kumbe serikali ndio imeamua tupige dash ongezeko la vidonda vya tumbo kwa kupiga dash limeongezeka hurumia ma dk kwa kuonja hata chai na mkate jamani
serikali ya ccm inaruhusu yoote hayo!Bongo Bingo!
serikali ya ccm inaruhusu yoote hayo!
basi kusanyeni kodi!