Hivi huwa hamuwezi kusoma udaku wenu na mkamalizia huko huko?
ataanzaje kumtenga ikiwa kwamba yeye ndo kamtoa bikra!

Mhh! Watu kwa udaku! Ulijuaje?
hivi una cheo gani hapa jf?manake una dictate sana mara mnajaza server!usipende kusemea watu kama hujapenda story achana nayo au kama amevunja sheria report basi!kama una watoto watakua wana shida sana kuwa na baba design yako.