SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 929
Wewe akili ya Lissu na Kitima unaona zipo sawa?hawa wote wapenda sifa na camera hwana kitu........
Tundu muongo, mnafik, mzandik.
Kichwa cha samaki inaelekea hujui tume ina wajumbe wangapi ungelijua wako wangapi na wanatoka wapi ungejua hakuna watu kutoka taasisi hizo mbili jishughulishe kidogo
Tundu muongo, mnafik, mzandik.[/QUOTEWEWE JE????????????????????????????
Tundu muongo, mnafik, mzandik.[/QUOTEWEWE JE????????????????????????????
"Siyo tu kauli ya Mheshimiwa Tundu Lissu ni uzushi na uongo mtupu, bali pia ni ya unafiki, fitina na uzandiki wa hali ya juu."
"... (K)wa Mheshimiwa Tundu Lissu kudai kuwa mapendekezo ya TEC na CCT hayakuheshimiwa ni uongo wa mchana usiokuwa na kichwa wala miguu."
-------! Huna adabu wewe HEBU HAYO MANENO KAMWAMBIE BABA YAKO#
Tundu muongo, mnafik, mzandik.
Na bado hadi mlie,kwani maji mafupi ni rahisi kuogelea lakini marefu mtihani tu.
Jk ni mvivu wa kusoma, mvivu wa kufikiri pia ni mweupe sana kichwani.
Wee hujui kitu,unamjua Kitima?au unafurahi kumuona akiendesha harakati?
Uwe unafuatilia mkuu,Kitima anaongea sana kuhusu serikali,wakati yeye mwenyewe kakiibia chuo mahela mengi,na katapeli vitu vingi,waulize watu waliosoma SAUT miaka ya 2009 hadi 2012,watakwambia
Jamaa wameshindwa kabisa kujenga hoja wanabaki kusema muongo,mnafiki,mzandiki!
Acha uwongo wewe mimi nipo ndani ya system ya saut kitima ndio mtu aliekiboresha kufungua matawi mengi zaidi
...hivo ndivo rais wetu "ameambiwa, amesikia, ameelezwa" kama mbayuwayu vileTundu muongo, mnafik, mzandik.
...hivo ndivo rais wetu "ameambiwa, amesikia, ameelezwa" kama mbayuwayu vile
Kweli kabisa,hii ni kwa mujibu wa ushahidi wa kimazingira!Mkuu umeona mbali!Wewe ni great thinker!Jk ni mvivu wa kusoma, mvivu wa kufikiri pia ni mweupe sana kichwani.
"Siyo tu kauli ya Mheshimiwa Tundu Lissu ni uzushi na uongo mtupu, bali pia ni ya unafiki, fitina na uzandiki wa hali ya juu."
"... (K)wa Mheshimiwa Tundu Lissu kudai kuwa mapendekezo ya TEC na CCT hayakuheshimiwa ni uongo wa mchana usiokuwa na kichwa wala miguu."
... Ni kweli mkuu hatutaki rais ajae awe wa kuambiwa, kusikia, kuelezwa, kusimuliwa kama mbayuwayu. Ausome mwenyewe na kuuelewa sio anawaachia akina Lukuvi na Wasira wamsomee halafu wamsimulie, wamwambie,wamueleze. Akina Tundu Lissu na Dr wameshamjua kuwa ni mvivu wa kusoma ndio maana kila linapokuja suala la kusaini mswada wanamsubiria kwa hamu kwenye kona maana wanamjua ataingizwa mkenge na akina Lukuvi tu.na huyu ndo rais wetu ajae hana mtu wa kumwabia kumueleza wala hasikii
Kitima kazi keshafukuzwa si VC tena wa SAut chezea ccm muulize kilaini yuko wapi