Dr Chameleone na Barubaru

Mabagala

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
1,477
325
Nimeuskia huu wimbo wa Dr Jose Chameleone, anaimba 'sina barubaru baibe'' ivi ni barubaru huyu huyu wa hapa JF au? pia siku izi simuona wala simskii hapa mkekani. sijui kapotelea wapi? ni wimbo mzuri sana huu
 
Haaaaaa mchokozi wewe,iva valu valu beibe!!!!
 
Nimeuskia huu wimbo wa Dr Jose Chameleone, anaimba 'sina barubaru baibe'' ivi ni barubaru huyu huyu wa hapa JF au? pia siku izi simuona wala simskii hapa mkekani. sijui kapotelea wapi? ni wimbo mzuri sana huu

Barubaru alishaaga na shairi la kwaheri akatuachia.......
labda umtafute kwa ID yake mpya......
 
Kumbe!! Basi hata mie huwa najua ni barubaru! Anamaanisha nini eti? Lol.....I like that kawimbo vere vere (of coz napenda nyimbo za kiganda....tatizo kalugha tu ndo sikaelewi)
Me too kapipi, ivi ni kapipi ka kijiti au kaduara?
 
Kumbe!! Basi hata mie huwa najua ni barubaru! Anamaanisha nini eti? Lol.....I like that kawimbo vere vere (of coz napenda nyimbo za kiganda....tatizo kalugha tu ndo sikaelewi)
Nimeazisha tuishieni uje ujifunze sawa kipipi?
 
naomba kuuliza,
huyu jamaa naona anaitwa Dr. Chameleon,
je ana PhD ya kusomea au ya heshima ya kupewa au ya kujipachika kama kina Professa Jay au Prof. MajiMarefu????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom