DR Bilali ni Gamba akademia

DR Bilali ni Gamba akademia

Joined
Apr 3, 2012
Posts
35
Reaction score
8
Kwa nini yeye kila siku akivaa gamba zake za kijani ni tofaut....na kamba mnamkumbuka miaka ya nyuma aliwasumbua sana CCM kule Zenj, wanamuhofia sana
 

Attachments

  • 6.jpg
    6.jpg
    61.3 KB · Views: 124
  • 13_.jpg
    13_.jpg
    58.5 KB · Views: 110
muacheni jamani mzee wetu, makamu wa rais wa JMT.....
~ muungano
~ mazingira
ndio majukumu yake makuu JMT tu
LOD inashuka sasa kwake...

V
SENGEREMA
 
Huwa anajitahidi kuzingatia ushauri wa kamati ya ufundi na anajitahidi avae vazi lenye mfuko wa kufichia mikasi.
 
muacheni jamani mzee wetu, makamu wa rais wa JMT.....
~ muungano
~ mazingira
ndio majukumu yake makuu JMT tu
LOD inashuka sasa kwake...

V
SENGEREMA
Kuna kazi moja umesahau ambayo ndio anajitahidi sana kuifanya, ya kila siku kutembea na mkasi mfukoni kwa ajili ya kukata utepe.
 
Back
Top Bottom