Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,640
- 164,788
Dr. Bana yuko live Channel 10 muda huu na katika mazungumzo yake na mtangazaji, anasema yeye ni muumini wa serikali moja na kwamba haamini mfumo uliopo wa serikali mbili utamaliza kero za muungano.
Katika mazungumzo yake anasema,haamini kama Wazanzibari wengi wanaunga mkono serikali tatu na amesisitiza tusubiri kuona kwenye kura za maoni.
Msikilize live sasa hivi kupitia Channel hiyo...
Katika mazungumzo yake anasema,haamini kama Wazanzibari wengi wanaunga mkono serikali tatu na amesisitiza tusubiri kuona kwenye kura za maoni.
Msikilize live sasa hivi kupitia Channel hiyo...
Wana jamvi Dr. Bana kasema ni sahii kufukuzwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Ameyasema hayo leo katika kipindi cha barugumu channel 10 kua ni sahihi kwa kufukuzwa mwanasheria mkuu wa Zanzibar kwakua ametenda kosa la kiuongozi kwakua yupo chini ya mamlaka ya rais