Dr Bashiru: Mitambo ya uongo CCM inatisha

UHURU huo umepitiliza mipaka,Kuna mengine ya kuongea ndani ya CCM sio public.Katibu mkuu kama kweli kayasema hayo alitakiwa kuyasema ndani ya VIKAO au mikutano ya ndani ya CCM kama yapo sio kwenye public
Hahahaaaaa,imepenya mlemle!
 
Dr Bashiru amesema ahadi kuu ya mwana CCM ni kusema ukweli daima lakini kwa Sasa Mitambo ya uongo CCM inatisha.

Source: Clouds 360!
Tatizo katika ccm most members ni waachama wa masilahi zaidi. Muda si mrefu kitabaki na wanachama wenye kuzingatia ahadi na imani za chama.
 
Kiongozi wa mitambo ya uongo CCM na hata Serikalini ni kichaa jiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…