Dr Bashiru: Hakuna ubaguzi mbaya kama wa wanaCCM kubaguana wenyewe, tukikubaini tutakufukuza ukatafute chama kingine!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,977
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema hakuna ubaguzi mbaya kama wa mwanaCCM kumbagua mwanaCCM mwenzake.

Dr Bashiru amesema mbaguzi wa namna hiyo akibainika atafukuzwa kutoka CCM akatafute chama kingine akaendeleze upuuzi wake.

Source Channel ten tv!
 
CCM ni mama wa ubaguzi wote. Leo mnambagua Membe, Makamba na Kinana
 
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema hakuna ubaguzi mbaya kama wa mwanaCCM kumbagua mwanaCCM mwenzake.

Dr Bashiru amesema mbaguzi wa namna hiyo akibainika atafukuzwa kutoka CCM akatafute chama kingine akaendeleze upuuzi wake.

Source Channel ten tv!
Mtanisamehe, huyu Bashiru mbona anakuwa mpzi! (nisameheni) anafanya CCM as if it is Oxygen without which one is going to die! It is as if one can not manage anything on earth without it! Mbona anakuwa kibwengo sana! Aishie huko anakozunguka !
 
Hapo inaonesha hisia zako kiuhalisia,kifupi ni kwamba maneno hayo aliyoyasema yamekuudhi to the maximum na si ajabu yamekupeleka kule kwenye "liwalo na liwe,potelea mbali".......please fanza subra,kwani SUBRA ni ibada pia, na ni ngumu kuliko ibada zoote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama wewe sio mwana ccm unaumizwaje na maneno yake?
You too suicidal
Mtanisamehe, huyu Bashiru mbona anakuwa mpzi! (nisameheni) anafanya CCM as if it is Oxygen without which one is going to die! It is as if one can not manage anything on earth without it! Mbona anakuwa kibwengo sana! Aishie huko anakozunguka !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema hakuna ubaguzi mbaya kama wa mwanaCCM kumbagua mwanaCCM mwenzake.

Dr Bashiru amesema mbaguzi wa namna hiyo akibainika atafukuzwa kutoka CCM akatafute chama kingine akaendeleze upuuzi wake.

Source Channel ten tv!
Missguided missile.
 
Hivi huyu docta anapozungumzia masuala ya ubaguzi anayaweka ktk wigo mpana unaostahili? Ama kwake ubaguzi mbaya ni ule wa ndani ya wana CCM tu ili kufikia hitimisho hilo alilolitoa! Hakika kuna ukame mkubwa wa fikra pevu kama za Kambarage hata miongoni mwa viongozi wa chama hiki kikongwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema hakuna ubaguzi mbaya kama wa mwanaCCM kumbagua mwanaCCM mwenzake.

Dr Bashiru amesema mbaguzi wa namna hiyo akibainika atafukuzwa kutoka CCM akatafute chama kingine akaendeleze upuuzi wake.

Source Channel ten tv!
Mwana ccm akimbagua mwana ccm ni kosa la kufukuzwa chamani ila mwana ccm akimbagua mtanzania ni sawa kabisa.

Tumekuelewa Ustaadh katibu mkuu
 
kama wewe sio mwana ccm unaumizwaje na maneno yake?
You too suicidal

Sent using Jamii Forums mobile app
anapanda chuki among Tanzanians! Upuuzi huo hauishii ndani ya CCM tu, una radiate to other walks of CCM unrelated people's lives! Unafuraha leo lkn ujue hata shangazi yako , mjukuu wako itamtafuna! Chuki ya Rwanda ilipandwa for decades kuja kufikia kulipuka!
 
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema hakuna ubaguzi mbaya kama wa mwanaCCM kumbagua mwanaCCM mwenzake.

Dr Bashiru amesema mbaguzi wa namna hiyo akibainika atafukuzwa kutoka CCM akatafute chama kingine akaendeleze upuuzi wake.

Source Channel ten tv!
Huyu jamaa naye kumbe huwa ni mtu wa kupiga piga makelele sana! Kila saa anaongea ila hajawahi kutekeleza hata kimoja. Hovyo tu!
 
INA MAANA;
Ubaguzi wa rangi,
Ubaguzi wa Kidini,
Ubaguzi wa Ajira,
Ubaguzi wa Kijinsia nk.
Havifui dafu kwa ubaguzi wa Ki-CCM??
Akili za wanachama wa hiki chama zimekarabatiwa zikiwa mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom