Dr. Bana akiri uchumi unazidi kushuka!

Huyo ni Mwalimu wa chuo...na sisi wanakijiji inakuwaje? Mbona hawakusema wakati kila dalili ilikuwa inaonyesha we were nose diving economically?
 
No more than this plz hata viongozi wa Nchi wanajua na ndio maana hulaumiana kila mara huku wakijaribu kucheza karata kwa uangalifu. Mengi yatajiri hadi 2015, ila natamani kipindi hiki au awamu hii ingekua na miaka miwili tu.
 
Bana is my registered controversial prof with no much help to his country. how would he dare to say he does not know why our economy is stagnant? hana tofauti na mkuu wa nchi aliyeulizwa kwanini watanzania ni maskini akajibu hajui.

Kama Prof. Lipumba asingekuwa Classmate wa Kikwete ninge question sana hiyo intake yao hawa jamaa (sina hakika Bana kama alikuwepo na hawa) Prof Mukandala, Kikwete na prof Lipumba wote hawa ni wa intake 1 pale Mlimani, sasa kama Lipumba singekuwepo kwenye kundi lao ningehisi huenda mwaka huo kilitokea kichotokea mwaka jana kwenye mtihani wa wa taifa wa darasa la saba kwamba more than 5,000 of candidates hawakuwa wanajua kusoma na kuandika and yet walifauru kwenda secondary, uwezo wa kufikiri wa hawa jamaa hakika una bore kweli.
 
bana si mchambuzi wa masuala ya msingi-anatumia tu title ya udaktari kusema lkn mantiki katika maelezo yake huwa ni zero
 
Back
Top Bottom