Dr. Bana akiri uchumi unazidi kushuka!

Dr. Bana akiri uchumi unazidi kushuka!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,511
Reaction score
11,913
nimemuona ITV Dr.Bana amekiri pamoja na demokrasia kupanuka,hali ya maendeleo ya nchi inazidi kushuka.Hajui ni kwa nini
 
nimemuona ITV Dr.Bana amekiri pamoja na demokrasia kupanuka,hali ya maendeleo ya nchi inazidi kushuka.Hajui ni kwa nini
 
ivi uyo naye ni wa ku msikiliza....ndo maana anaitwa bana....ni hao watu wa propaganda ya ccm, akimaliza mkandara tu hapo utasikia naye amekuwa makamu mkuu wa udsm. mkandara naye si alikuwa bana?
 
Anaongea nini huyo bwana, mwambie aitishe tena maoni kupitia REDET hafu atupe tathmini!!!!!!
 
nimemuona ITV Dr.Bana amekiri pamoja na demokrasia kupanuka,hali ya maendeleo ya nchi inazidi kushuka.Hajui ni kwa nini

ndio maana hizi PhD zinakuwa very questionable,
milions of report have been written why our country is poor lakini wasomi hawa hawazioni yote ni unafiki mkubwa wa wasomi waoga kutotaka kuwauzi wakubwa kwa kuwaambia kuwa wao ndio chanzo namba one cha kuporomoka kwa uchumi mtu umesoma unaogopa kuzungumza ukweli kwa kuogopa kuwaudhi wakubwa.
 
Bana is my registered controversial prof with no much help to his country. how would he dare to say he does not know why our economy is stagnant? hana tofauti na mkuu wa nchi aliyeulizwa kwanini watanzania ni maskini akajibu hajui.
 
Hawezi kujua ni kwanini kwa sababu yeye sio mtaalam wa uchumi. Sijui ni kwanini media houses bado zinamfuata huyu Dr Benson Bana? Wamekosa wataalam wa uchumi?
 
Yule dr kilaza Bana hawezi sema hivyo umemnukuu vibaya, kuna wakati alisema nchi imeendelea watoto wanaweza kuperuzi taarifa kwenye mitandao, na kuendesha gari vizuri akiwa na miaka 17 tu, na kutamba kuwa hayo ni maendeleo, leo ageuke? Siamini labda arudie tena inawezekana alikuwa kalala akajisahau kuwa anatakiwa kuilinda selikali kwa propaganda zake
 
anapalilia umakamu wa udsm mkandara akipewa shali lingine. hana jipya kabisa.
 
Kajua hili leo atakuwa hajalipwa mwizi, anaifanya udsm kuonekana kama chuo cha kata.
 
Hivi ni lini uchumi wetu uliwahi kupanda na watu kweli wakaona hali zao zimebadilika?
 
Yule dr kilaza Bana hawezi sema hivyo umemnukuu vibaya, kuna wakati alisema nchi imeendelea watoto wanaweza kuperuzi taarifa kwenye mitandao, na kuendesha gari vizuri akiwa na miaka 17 tu, na kutamba kuwa hayo ni maendeleo, leo ageuke? Siamini labda arudie tena inawezekana alikuwa kalala akajisahau kuwa anatakiwa kuilinda selikali kwa propaganda zake
...umenikumbusha mkuu,mr.dhaifu nae alishasema kwamba msongamano wa magari dar ni maendelea eti watu wanaomiliki gari sasa ni wengi ukilinganisha na kabla ya yeye kuingia magogoni...
 
huyu analeta siasa kwenye mambo muhimu ya uchumi kabla ya kuja na nini kifanyike anakuja kutuchanganya zaidi
 
Bana anapaswa kujua maana amekuwa mstari wa mbele kuisifia serikali ya msanii kwa vile inamkatia kitu kidogo. Je ameanza kutemwa hivyo kuanza kujitafutia pa kukimbilia baada ya kugundua kuwa muungu wake CCM unaporomoka kwenda motoni? Shame on you Bana!
 
...Na huyo ndio DR!!!! Eti hajui ni kwanini uchumi wa nchi unaanguka!!....

nimemuona ITV Dr.Bana amekiri pamoja na demokrasia kupanuka,hali ya maendeleo ya nchi inazidi kushuka.Hajui ni kwa nini
 
Yaleyaleee.hivi kweli nchi hii watu hawajui kwa nini ni masikini
 
Hivi REDET mbona siku izi hawafanyi zile tathmini za KIONGOZI gani anapendwa zaidi na chama gani kinapendwa sana? wanaogopa nini? au majibu yatakuwa si wanayoyataka na mazingira ya sasa wakichakachua wataonekana mapunguani yani sipaji la maswali yangu.
 
Kajua hili leo atakuwa hajalipwa mwizi, anaifanya udsm kuonekana kama chuo cha kata...

Ni kweli kabisa mkuu, hata mie baada ya kumsikiliza, nilijiuliza swali hili hili, kuwa Anaitendea haki kweli elimu ya Chuo Kikuu Cha DSM? Asiidharirishe UDSM!
 
CHADEMA wanajua vizuri sana kwa nini hii nchi ni masikini. Umasikini wa taifa hili umejengwa juu ya mihimili mikuu mitatu ifuatayo:

i. UFISADI (amwone Dr. Slaa kwa ufafanuzi zaidi)

ii. Mfumo mbovu wa elimu (arejee hotuba ya Chairman Hon. Mbowe huko DMV hivi karibuni)

iii. Lack of rule of law and order (amwone Hon. Tundu Lisu kwa darasa zaidi)

So, those are the three pillars why this country is the poorest one. Kilimo duni, uzalishaji duni, huduma duni za afya, uchumi duni, n.k. n.k. ni matokeo tu ya mihimili hiyo mitatu na wala haihitaji research yoyote kugundua hilo.
 
hivi mtu kama huyu anakuwa kaalikwa au kahonga hela kwenda studio?sioni chombo cha habari makini wamuite kilaza kama huyu kudiscuss issue zisizohitaji ukereketwa wa kichama..hili jamaa lioga na lichumia tumbo sijapata kuona,aibu kuwa na baba kama huyu
 
Back
Top Bottom