Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
- Thread starter
- #21
Znafikiri mkuu "jamaa kaamua kubisha kwa kwenda mbele"
Na wewe upo katika wale 70% wafuata mkumbo? hii ni kwa mujibu wa JK kwamba WaTZ 70% ni wafuata mkumbo
Znafikiri mkuu "jamaa kaamua kubisha kwa kwenda mbele"
Kwani marekani insherkea uhuru wake kwakuanzia lini??maana baada ya uhuru wake kuliunganika nchi nyingi tu nazilizokuwa huru na sasa zilifuta uhuru wao nakuunganisha uhuru wanchi waliyo ungana nayo!!sasa iweje tukumbuke Tanganyika wakati tulisha sema basi na sasa tunamzaa mtoto tanzania!Ni ukweli usiopingika kwamba tunasherehekea uhuru wa Tanganyika ambayo ilipata uhuru 9/12/1961, a.k.a Tanzania Bara baada ya kuungana na Zanzibar 1964. Tanzania haikuwepo miaka 50 iliyopita, iliyokuwepo ni Tanganyika. Kama tungependa kuienzi Tanzania inavyostahiki, basi tungelenga kufanya sherehe kubwa wakati wa miaka 50 ya Muungano.
Nawasiwasi na uhuru wa mawazo yako kwa jinsi unavyo uamini huo uhuru wakati unakupoteza mimi ninakubali kwa Dr Ezavel lwaitama nimetekwa!!ila wewe unahitaji kukombolewa katika lindi la mawazo duni.........nenda pale UDSM Nkhuruma hall kwenye mdahalo au kama ulipata bahati ya kusoma pale basi huwezi kubishia kitu!! au ni ninyi wale mnasema punda ukimpaka rangi anageuka punda milia!!!Fata mawazo ya wana JF wenziyo watakutoa hapo ulipo kwenye ukimbizi wakufiria!Labda KakaKiiza tu ningependa kukufahamisha kwamba mimi nina mawazo huru na ninadadisi, sijamkabidhi Dr Lwetama kufikiri kwa niaba yangu, Kama wewe unadhani au unafikiri kwamba analowaza Dr Lwetama ndio sahihi basi hata chama cha siasa atakachojiunga au kushabikia unapaswa umfuate, maana wewe tayari ni mateka wake.
hata mimi najua hakuna tanganyika kwa sasa ila ikuwepo kabla ya april 1964.
Kwani marekani insherkea uhuru wake kwakuanzia lini??maana baada ya uhuru wake kuliunganika nchi nyingi tu nazilizokuwa huru na sasa zilifuta uhuru wao nakuunganisha uhuru wanchi waliyo ungana nayo!!sasa iweje tukumbuke Tanganyika wakati tulisha sema basi na sasa tunamzaa mtoto tanzania!
Usinilazimishe unaloamini wewe basi na mimi ndio niamini hivyo, nchi yetu sio ya kwanza kuungana, kinacholeta tabu ni style ya muungano wetu wa kuchanganya mchanga kama waganga wa kienyeji badala ya kuunganisha watu, kama hili swala lisingekuwa na walakini ni kwa nini watu wahoji miaka 50 baadaye? open ur eyes & open ur mind, hao unaowaona wewe kwamba ni wasomi si watu wa kuaminika kwa kila jambo.Nawasiwasi na uhuru wa mawazo yako kwa jinsi unavyo uamini huo uhuru wakati unakupoteza mimi ninakubali kwa Dr Ezavel lwaitama nimetekwa!!ila wewe unahitaji kukombolewa katika lindi la mawazo duni.........nenda pale UDSM Nkhuruma hall kwenye mdahalo au kama ulipata bahati ya kusoma pale basi huwezi kubishia kitu!! au ni ninyi wale mnasema punda ukimpaka rangi anageuka punda milia!!!Fata mawazo ya wana JF wenziyo watakutoa hapo ulipo kwenye ukimbizi wakufiria!
Wakuu nashindwa kumuelewa huyu Dr Lwetama nae amejiunga na kundi la wapotoshaji kwamba eti tunasherehekea Uhuru wa Tanzania bara na kwamba wanaosisitiza ni Tanganyika wana ajenda za kisiasa, je ni huyu Dr Lwetama ninayemfahamu mimi amekua mpuuzi kwa viwango hivi?
Source: BBC Swahili sasa hivi iko live.
Kwa hilo si jina kama CRDB ya zamani na CRDB yaleo je maana ni ileile??funguka Azavel Lwaitama hawezi kuwa mpuuzi kwawatu wenye uwezo kiakili ni mmoja wapo!!wewe ndo unawezakuwa mpuuzi watu wanaomjua Azavel lwaitama na hii thread yako haiitaji kuwa jiniasi!!!dairekiti wewe ndiye mpuuzi!!!
Wakuu nashindwa kumuelewa huyu Dr Lwetama nae amejiunga na kundi la wapotoshaji kwamba eti tunasherehekea Uhuru wa Tanzania bara na kwamba wanaosisitiza ni Tanganyika wana ajenda za kisiasa, je ni huyu Dr Lwetama ninayemfahamu mimi amekua mpuuzi kwa viwango hivi?
Source: BBC Swahili sasa hivi iko live.