kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Unapambana na viumbe waliopagawa roho za visasi tu!Hata ukiwapa dunia nzima hawaridhiki hawa!Wana hamu na damu ya watu tuu ndio maana wametafuta kisingizio cha mahali pa kuanzia kwani wanajua kuwa wakristo watachoka kusingiziwa tu kila kibaya na hapo lengo lao litakuwa limetimia!kumwaga damu kwa ajili ya majini yao!Naona njia itakayopunguza mihemko ya roho hizi za chuki ni maombi ili wapate akili ya kujiuliza japo kidogo.Sijui ni laana au kitu gani. Kwa hiyo, Mufti akiuza mali za BAKWATA anakuwa msaidizi wa Pengo?
Mmelelewa vibaya sana. Haiwezekani mtu mzima ukawa mjinga na ukajivuna kwa hilo. Hivi Pengo anahusikaje na BAKWATA kama sio mna matatizo nyinyi watu? Kuna mtu alisema '...............ni karakana ya SHETANI'' na sasa naamini. Niulizeje, hamna hata mmoja mwenye kufikiri miongoni mwenu akawasaidia na wenzake kupata ufahamu?
Dunia nzima Waislam wanalalama kuwa wanaonewa, mbaya zaidi hadi katika nchi ambazo mko wenyewe tu. Sasa huko nako ni Pengo anawadhulumu mali zenu za BAKWATA? Egypt sasa inaongozwa na Muslim Brotherhood, lkn wote tunasikia maandamano na vifo kila kukicha, na huko nako ni Mfumo Kristo? Zero kabisa!
Kile kiwanda cha silaha cha Iran ilioko Sudan ambacho kimelipuliwa na ndege za Israel ni cha kina Ponda pamoja na Janjaweed, Alshabaab, Uamsho na wengine wote wenye ndoto ya kuunda a big islamic empire in east afrika
Cha kumshukuru Mungu, hapa kwetu hawa Washia ni wachache sana kiasi madhila yao wanayaweka moyoni. Kama na wao wangekuwa angalau 30% ya Waislam wa Tanzania, amin nawaambia tusingekuwa salama. Hawa watu wangekuwa wanapigana mabomu kila uchao kama mnavyoona Iran, Iraq, Egypt na sasa Syria.
Debate yao ni Nyerere na Pengo, lkn lisingekuwepo hilo debate ingekuwa ni Shia vs Sunni na hamna anayekubali kushindwa.
wanajeshi wote wa marekani hufundishwa kuwa adui yao mkubwa ni uislam.sudan ya kusini mmefurahia kujitenga,mali kaskazini kutaka kujitawala nguvu zote zimetumika kupingaKwa hiyo Rais Obama kashatangaza kuwa Ndugu zake woote upande wa Baba kama huyu Hussein Obama ni Gaidi siyo?
Photo: Barack and Malik Obama, circa 1985 (when the former was about 24)
From: OBAMA'S BROTHER: Obama will be good for Jews 'DESPITE MUSLIM BACKGROUND" - Atlas Shrugs
Wangetupatia cv zake tumjue vizuri. Kama hali ni hivyo hawezi achiwa kwa dhamana. Labda walimtafuta sasa yuko kwenye kumi na nane zao hawamwachii. Waislam kazeni Dua Shehe asije potelea kizuizini
matatizo haya yanasababishwa na ushabiki na kila mmoja kuwa na tabia ya kuona yeye ndie bora zaidi na mwenye haki.mie nashangaa sana!ukristo,uyahudi na uislam ni dini zinazoonekana dhahiri kuwa na chanzo kimoja kihistoria (ibrahim)kutokana na kufanana sana mafundisho yake mengi.lakini wenye dini hizo wanavyotoana damu utasema hawa wametokea mars,wale jupita na wale wengine neptune...taabu tupu!kweli shetani mbaya!laiti ibrahim angefufuka leo hii kwa dk tano tu,asingezimaliza,angeangusha tena kwa HEART ATTACK!
baadhi ya waislam wa tanzania full vichekesho,badala ya kutafuta jinsi ya kutoka kimaisha wao wapo bize na ujingaujinga
nilijua nitapingwa kumbe nitaunga mkono.asante shekhe wangu! hawa watu wanaotaka kutengeneza mazingira ya uadui kwa hoja za kutengeneza tuwakosoe.
Kile kiwanda cha
silaha cha Iran ilioko Sudan ambacho kimelipuliwa na ndege za Israel ni
cha kina Ponda pamoja na Janjaweed, Alshabaab, Uamsho na wengine wote
wenye ndoto ya kuunda a big islamic empire in east afrika
Huwa naelimisha kama hivi.Nawe saidia katika hili mkuu.Kadhalika watanzania wengi mtu hujikuta akiwa muislam kwa kuwa kazaliwa katika familia ya kiislam na kuwa mkiristo kwa sababu hiyo hiyo. kwa sababu hiyo wengi wamejikuta na dini zao kwa bahati nasibu tu kama mtu anavyojikuta mwanaume au mwanamke. Kadhalika hata tukisema tugombane mwisho wa siku tutaishia tu kuishi kwa chuki badala ya upendo na dini hizi zitaendelea kuwepo.sasa kwa nini tusiamue tu kuendelea kuishi kama mpare anavyoishi na mchaga(Wana taniana tu lakini kirafiki zaidi na hakuna mwenye ugomvi na mwenzake!)Mkuu betlehem umekuwa na maono tofauti sana na waislam wengine. Nimependa sana hii. Unatakiwa uwe unawaelimisha hata hao wenzetu kuwa hizi dini tunaamini kwa sababu tunaamini na hakuna proof ya kuamini kwetu.
Haina haja ya kuchinjana kwa sababu hivi vitabu tumevikuta na tukaaminishwa.
wanajeshi wote wa marekani hufundishwa kuwa adui yao mkubwa ni uislam.sudan ya kusini mmefurahia kujitenga,mali kaskazini kutaka kujitawala nguvu zote zimetumika kupinga
Sheik Ponda badilika
Anahusika na mauaji ya shekhe wa kenya! Haya ni makubwa, uraia nao una matata!