pius mabula
Senior Member
- Jul 2, 2012
- 196
- 26
another silly season...!! yani hiyo nchi yenu ni upuuzi kila mahali, upuuzi upuuzi tu, yaani polisi hawana namna nyingine ya kupata ushahidi zaidi ya kumuhoji ulimboka?? namba za simu si walipewa na kubenea?? yani kubenea kapata hadi majina ya hao wahusika, polisi wameshindwa!!!! jitu kama feleshi au mwema ukiwaita stupid unakosea?? stupid!
Kumbe na Majirani zetu mnajua ukweli ya yanayoendelea Tanzania? AIBU KWETU.