Dr Kantangaze
Senior Member
- Jul 3, 2014
- 127
- 83
Nakupa LIKE mkuuKwani Lipumba hana haki ya kufutiwa mashtaka?kwani siyo Mtanzania?.Hivi akipewa uwaziri au whatever nafasi ya kuwatumikia Watanzania kuna kosa gani?Tanzania ya kwetu wote .Acheni ubaguzi wa kijinga
kama kweli ni mzalendo amteue lissu kuwa waziri wa sheria na katiba. pia amteue halima mdee awe naibu waziri wa ardhi hapo nitaamini kwamba yeye ni mzalendo...
Kumbe ni kweli mlio upande huo mmeshajitoa ufahamu, lol!Ajitoe ufahamu tu achukue kadi yetu ya ccm then tumpe uwaziri wa fedha au ugavana.
Mkuu sheikh ponda hajaachiwa ila kashinda kesi
Na hukumu yake ilikua imeandaliwa tarehe 18/18/2015 hata kabla uchaguzi haujafanyika kaka uwe unaongea na ushahidi[/QUOTE]
Wewe sasa ushahidi gani huu uliotoa, hizo tarehe ni za sayari gani !!!!!
Mtu ashatinga Ikulu na masuti na briefcase kunongona na mzee wa kupasua majipu. Kwanza Lipumba sidhan kama kura yake alimpa E.Lowassa nina mashaka.