Mzee Mchopu
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,031
- 268
Yes, Lipumba kichwa aidha waziri wa Fedha au Mipango!Haaaaaaaa, Waziri was fedha au waziri wa uchumi?
Yule mwanachma wa CUF!!!Lipumba ni nani??
.....utawala wa sheria bwana!!!!!Kesi iliyokuwa inamkabili Prof Ibrahim Lipumba na baadhi ya wafuasi wa CUF kwa kosa la kuandamana bila kibali imefutwa hii leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, kumbuka kesi hii Ilitakiwa isomwe Jan. 15.2016, ikarudishwa nyuma na kusikilizwa leo asubuhi ambapo imefutwa rasmi.
Lipumba ni nani??