Mzee Mchopu
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,031
- 268
Taarifa zilizopatikana ni kuwa ile kesi ya prof Lipumba na wenzake imefutwa.
Nini tafsiri ya hii kitu wakuu?
=============
Update
Kesi iliyokuwa inamkabili Prof Ibrahim Lipumba na baadhi ya wafuasi wa CUF kwa kosa la kuandamana bila kibali imefutwa hii leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, kumbuka kesi hii Ilitakiwa isomwe Jan. 15.2016, ikarudishwa nyuma na kusikilizwa leo asubuhi ambapo imefutwa rasmi.