residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,263
- 14,995
Ni katiba ya JMT na katiba ya CCM tu.Hivi hapa duniani kuna Katiba inayochezewa na kukanyagwa kanyagwa kama Katiba yetu?

Sijui taratibu za kumfanya akidhi takwa la kuapishwa alizifanya akiwa gerezani, maana alitoka 23/11 na 24/11 akaapishwa. Hao CHADEMA waliomuorodhesha huyu mtuhumiwa walikua na uhakika gani kama angekuja kuachiwa na DPP? CHADEMA hawakua na mwanamke mwingine wa kujaza hiyo nafasi? What was so special with this lady out of other women CHADEMA members?Ni jambo jema!
Kutoka mahabusu direct Bungeni hata Nelson Mandela alipumzika kidogo kabla hajatimba Ikulu.
Mungu mbariki Nusrat!
Hapana mkuu, Mungu ambariki kwanza DPP kwa kufanikisha maajabu haya yanayoliweka Taifa letu kuwa miongoni mwa mataifa yenye demokrasia iliyotukuka. Toka mfungwa mtarajiwa hadi Waziri mtarajiwa? Sisi ni wa pili duniani baada ya Uswisi.Ni jambo jema!
Kutoka mahabusu direct Bungeni hata Nelson Mandela alipumzika kidogo kabla hajatimba Ikulu.
Mungu mbariki Nusrat!
DPP ametimiza wajibu wake wa kisheria!Hapana mkuu, Mungu ambariki kwanza DPP kwa kufanikisha maajabu haya yanayoliweka Taifa letu kuwa miongoni mwa mataifa yenye demokrasia iliyotukuka. Toka mfungwa mtarajiwa hadi Waziri mtarajiwa? Sisi ni wa pili duniani baada ya Uswisi.
Ya kutoa sababu au kumuachia mtuhumiwa usiku?DPP ametimiza wajibu wake wa kisheria!
Na yeye ataungana na wale 18 au nawaza tu🤔🤔🤔Mkurugenzi wa mashtaka nchini Tanzania (DPP), Biswalo Mganga leo Jumatano Desemba 2, 2020 ameeleza uamuzi wake wa kumfutia mashtaka kada wa CHADEMA, Nusrat Hanje ambaye Novemba 27, 2020 alivuliwa uanachama wa chama hicho pamoja na wenzake 18.
Nusrat ambaye alikuwa katibu wa baraza la vijana CHADEMA (BAVICHA) alikaa mahabusu siku 163 na siku moja baada ya kutoka mahabusu jina lake lilikuwa miongoni mwa majina 18 ya wanawake walioapishwa Novemba 24, 2020 mjini Dodoma kuwa wabunge wa viti maalum.
Mbali na CHADEMA kupinga kuapishwa kwa wanawake hao kwa madai kuwa majina yao hayakupitishwa na kamati kuu ya chama hicho na kwamba kilichofanyika ni usaliti, pia walihoji kitendo cha Nusrat kutoka mahabusu na moja kwa moja kuapishwa wakati alipaswa kujaza fomu Novemba 20, 2020 na alitoka mahabusu wakati muda wa kujaza fomu hiyo ukiwa umepita.
Akizungumza na wanahabari leo katika gereza kuu la Karanga mjini Moshi, Mganga amesema yeye ndio aliyemwachia kada huyo kutokana na mamlaka aliyonayo chini ya kifungu 91 cha CPA cha 2002.
DPP Mganga alitoa kauli hiyo wakati akitoa taarifa ya kuwafutia mashtaka watuhumiwa 72 ambao walikidhi sifa za kufutiwa mashtaka kutokana na sababu mbalimbali zikiwamo za kubambikiwa makosa.
Mganga alimtaja mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuwa yeye na wenzake angeweza kuwashtaki kama Nusrat lakini aliamua kufuta mpango huo kutokana na uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020.
Kwani ukienda hospitali usiku hautibiwi?Ya kutoa sababu au kumuachia mtuhumiwa usiku?
hospitali na mahabusu ni vitu viwili tofauti,jibu swali mkuu.Kwani ukienda hospitali usiku hautibiwi?
Umeshaanza kuchanganyikiwa.Kwani ukienda hospitali usiku hautibiwi?
DPP alikuwa pale magereza akiwasikiliza mahabusu hadi usiku na kutoa maamuzi.Umeshaanza kuchanganyikiwa.
Mahabusu na hospitali wapi na wapi?
Tangu hili la sakata la akina Halima limeibuka umekuwa mnyonge hadi kuandika kwako, tatizo ni vinafasi vimezibwa? so sad!
Okay sawaa, amekesha hadi usiku kufanya maamuzi ya kumtoa Nusrat,pengine na mahabusu wengine.DPP alikuwa pale magereza akiwasikiliza mahabusu hadi usiku na kutoa maamuzi.
Kuna katazo kwa mtumishi wa umma kufanya kazi hadi usiku.
Acha kukariri wewe!
Halazimiki kuzisema na Nusrat siyo peke yake aliyetolewa!Okay sawaa, amekesha hadi usiku kufanya maamuzi ya kumtoa Nusrat,pengine na mahabusu wengine.
Hizo sababu za kuwatoa/kumtoa Nusrat mbona hajazisema, achane siasa kwenye mambo yanayohitaji weledi wa kisheria.
Sababu ipo wapi hapa....Mkurugenzi wa mashtaka nchini Tanzania (DPP), Biswalo Mganga leo Jumatano Desemba 2, 2020 ameeleza uamuzi wake wa kumfutia mashtaka kada wa CHADEMA, Nusrat Hanje ambaye Novemba 27, 2020 alivuliwa uanachama wa chama hicho pamoja na wenzake 18.
Nusrat ambaye alikuwa katibu wa baraza la vijana CHADEMA (BAVICHA) alikaa mahabusu siku 163 na siku moja baada ya kutoka mahabusu jina lake lilikuwa miongoni mwa majina 18 ya wanawake walioapishwa Novemba 24, 2020 mjini Dodoma kuwa wabunge wa viti maalum.
Mbali na CHADEMA kupinga kuapishwa kwa wanawake hao kwa madai kuwa majina yao hayakupitishwa na kamati kuu ya chama hicho na kwamba kilichofanyika ni usaliti, pia walihoji kitendo cha Nusrat kutoka mahabusu na moja kwa moja kuapishwa wakati alipaswa kujaza fomu Novemba 20, 2020 na alitoka mahabusu wakati muda wa kujaza fomu hiyo ukiwa umepita.
Akizungumza na wanahabari leo katika gereza kuu la Karanga mjini Moshi, Mganga amesema yeye ndio aliyemwachia kada huyo kutokana na mamlaka aliyonayo chini ya kifungu 91 cha CPA cha 2002.
DPP Mganga alitoa kauli hiyo wakati akitoa taarifa ya kuwafutia mashtaka watuhumiwa 72 ambao walikidhi sifa za kufutiwa mashtaka kutokana na sababu mbalimbali zikiwamo za kubambikiwa makosa.
Mganga alimtaja mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuwa yeye na wenzake angeweza kuwashtaki kama Nusrat lakini aliamua kufuta mpango huo kutokana na uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020.
Kasema sababu ni uchaguzi siyo huruma,DPP ana huruma! Kumbe aliwaokoa hata akina Mbowe?
Kwa mtu alie makini na kazi yake na ikiwa ni mtu aliebobea kwenye masuala ya sheria alipaswa kulijua hilo toka day one na si baada ya mtu kusota mababusu kwa muda wa karibia nusu mwaka na kumtoa katika hali ya utatanishi kama ilivyotokea. Je yeye ndiye aliyepeleka fomu za ubunge ili azijaze? Kama kweli hapendi watu kuwekwa mababusu asingekata rufaa kwenye kesi iliyodai haki ya rais kupata dhamana kwa kesi zote kama haki ya msingiMkurugenzi wa mashtaka nchini Tanzania (DPP), Biswalo Mganga leo Jumatano Desemba 2, 2020 ameeleza uamuzi wake wa kumfutia mashtaka kada wa CHADEMA, Nusrat Hanje ambaye Novemba 27, 2020 alivuliwa uanachama wa chama hicho pamoja na wenzake 18.