DPP aeleza sababu Nusrat Hanje kuachiwa huru

DPP aeleza sababu Nusrat Hanje kuachiwa huru

Kuna umuhimu wa watanzania kuacha ushabiki wa kijinga/kipumbavu kwa sababu ya vyama ili kujenga mustakabali mwema wa taifa.
Taratibu za kisheria na kikanuni lazima zifuatwe ili kujenga imani ya wananchi kwa vyombo vya dola, watumishi wa uma na viongozi.
DPP ana madaraka ya kisheria kufuta mashitaka. Hata hivyo, kama mtuhumiwa alipelekwa mahabusu kupitia mahakama, vivyo hivyo atatolewa kupitia njia hiyo hiyo.
Tukiacha kila mtu atumie madaraka yake bila kufuata sheria na kanuni, tutaishia kupigana.
 
Angefanya hivyo mapema na kwa kufuata taratibu ingeeleweka. Kubambikiwa kesi ni halisi na wanaofanya hayo wanashirikiana na ofisi yake au na 'yeye mwenyewe'
 
Back
Top Bottom