DPP aeleza sababu Nusrat Hanje kuachiwa huru

DPP aeleza sababu Nusrat Hanje kuachiwa huru

DPP akishafuta mashtaka mahabusu hugeuka kuwa raia huru muda huo huo.

Kuna tofauti kati ya mahabusu na mfungwa!
Nimemzungumzia mahabusu,hakuna sehemu ambayo nimemzungumzia mfungwa na pia hakuna removal order yoyote kutoka kwa DPP ambayo ilimfutia Nusrat mashtaka,yaani zilivunjwa sheria mbili kwa mpigo:

1.Kumtoa mtuhumiwa mahabusu usiku

2.Kumfutia mtuhumiwa mashtaka bila removal order
 
Kwahiyo ni uamuzi tu,usio na tija,ni uamuzi unaotumika kisiasa,

Yaani unaamua tu,unaamka asubuh,umetoka kulala na mkeo,unacheki Sheria inakuruhusu kufanya kitu flani,unafanya,tu,hakuna mchakato,hakuna maandalizi,na kwanini unamuachia mtu,usiku,siku nzima,ulikuwa wapi,kwanini siku hiyo usiku,huyu jamaa,akili hana. Kabisa,

Hata Rais anammlaka ya kusamehe wafungwa,lakini hakurupuki tu,katoka,kukata gogo,anapiga simu magereza,na kuwaambia muachieni fulani.

Pls do not insult our intelligence,this is a fuckup,
 
Akizungumza na wanahabari leo katika gereza kuu la Karanga mjini Moshi, Mganga amesema yeye ndio aliyemwachia kada huyo kutokana na mamlaka aliyonayo chini ya kifungu 91 cha CPA cha 2002.
wa hiyo DPP habanwi na sheria yoyote wakati wa kutekeleza majukumu yake? maana wananchi wameona kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria za nchi na zile za Mageleza zilizofanywa na vyombo vyenye mamlaka.
 
Nimemzungumzia mahabusu,hakuna sehemu ambayo nimemzungumzia mfungwa na pia hakuna removal order yoyote kutoka kwa DPP ambayo ilimfutia Nusrat mashtaka,yaani zilivunjwa sheria mbili kwa mpigo:..
Kwahiyo wewe unaijua kazi ya DPP kuliko Biswalo na AG plus Spika Ndugai?
 
Kumbe DPP nae anamamlaka ya kuwasamehe wafungwa !

na kama walisamehewa walikuwa wangapi waliosamehewa Kama Henje na kwanini msamaha huo ufanyike siku moja kabla ya kuwaapisha hao viti maalum?
Au tuseme nayo ilikuwa bahati mbaya tuu!
Je, kisheria huo muda wa usiku ni sahihi wafungwa kutolewa gerezani ?
 
Back
Top Bottom