Aisee.....wapiga debe wameanza kupiga miluzi.Muandishi wa hii kazi ni Deodatus Balile. Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri wa Gazeti la Jamhuri.
Aliyeiweka anajua kabisa na amekata jina lipo juu kabisa ya andiko hilo.
Naunga mkono hoja...MADALALI WA RASILIMALI ZETU.
Bashir Yakub, WAKILI
+255714047241.
1.. WAANDISHI WA HABARI WALIOTEMBELEA BANDARI DUBAI.
Watanzania wapuuzeni sana hawa. Mtu ambaye amelipiwa tiketi ya ndege, amelipiwa malazi ya karibia wiki mbili Dubai, ametembezwa bandari za Dubai, amelipwa na posho juu mpaka anarudi hawezi kuwa na akili yake. Sio mtu huru huyu na si wa kutegemea katika maoni. Akili imeporwa na ndio kawaida ya mnyonyaji.
Mnyonyaji huwa hashughuliki na walio wengi, hushughulika na walio wachache lakini wenye sauti, na hapo huwa amemaliza dakika zake 90 za uwanjani.
Kaka yangu DEODATUS BALILE ni mwandishi ninayemheshimu sana. Bahati mbaya naye ameingia katika huu mtego. Tumsamehe huenda akarejea, Tour ya Dubai sio kitu cha kumuacha mtu salama.
Aliyewapeleka Dubai ndiye anayetaka kuwekeza na ndiye mwenyeji wao huko. Hivi mnadhani anaweza kuwatembeza maeneo yenye changamoto. Mnadhani anaweza kuwapa data maeneo aliyokwama. Mna akili nyinyi mnarudi hapa kutwambia eti mmeona msichana mdogo anabonyeza kompyuta kontena inajishusha yenyewe, nyie watu, nyie watu.
Nani kati yenu alienda Dubai na hadidu za rejea za maeneo maalum na akaomba na akaoneshwa vile inavyostahili. Naapa, mlichokiona kwa macho na kwa data ndicho mwekezaji alichopanga muone, si chini wala zaidi. Hakuna chenu mlichojipangia kuona mkaoneshwa labda kama kilikuwa chanya kwa mwekezaji.
Watanzania muwapuuze hawa si watu huru tena. Maoni yao yamehodhiwa na "DUBAI TOUR".
Mnyonyaji kabla ya kufanya hila lazima awapate baadhi ya waandishi wa habari, wanasiasa, na watu maarufu katika jamii. Kwahiyo msishangae hivi karibuni mtawaona , wasanii na watu wengine maarufu katika hili. Hii ndio ada ya mnyonyaji. Iko hivyo tangu miaka na mikaka.
Tuwaepuke madalali wa rasilimali zetu.
Yumkini tumewajua tuwakatae kwa nguvu zote. Watachagua kumrudishia mwekezaji posho zake au kutimiza walichomuahidi ambacho tunasema hakiwezekani.
2. NI KITU GANI AMBACHO HATUWEZI KUFANYA WENYEWE.
Ukisoma ule mkataba una mambo mengi lakini makubwa ni mawili tu, UBORESHAJI na UENDESHAJI. Tumeshindwa nini katika haya. Tumeshindwa kuboresha ama kuendesha.
Lipi ambalo tukiweka nia hatuwezi kulifanya. Hawa wadubai wana uwezo gani wa akili ambao hatuna. Ugonjwa wetu ni mmoja tu UVIVU.
Mtu mvivu atakuwa na shamba kubwa, anao uwezo wa kutafuta mbegu, madawa, akalima na akapata mazao na faida kubwa.
Lakini kwasababu hataki kujisumbua , hataki kusimamia, atakodisha shamba lile kwa mkataba ili yeye awe analetewa hela yake tu kila msimu bila usumbufu wowote.Huyu ndiye mtu mvivu.
Aliyekodisha shamba atalima, arapalilia, atapata usumbufu,atapata mazao, atauza , atapata hela ya kutosha, kisha amlipe mwenye shamba 10% ya mkataba yeye achukue 90%.
Mtu mvivu hataki kusimamia, mtu mvivu hataki kupambana na changamoto, mtu mvivu hataki kuumiza akili,mtu mvivu sio mbunifu,mtu mvivu yuko tayari apate kidogo sana lakini ambacho kimekuja kwa ulaini kabisa. Uvivu ni ugonjwa lakini yafaa uwe Jinai pia.
Kama sisi tumeshindwa kuendesha bandari anayekuja ataendeshaje. Atatumia malaika kuendesha ?. Tunachoacha kufanya ndio hichohicho anakuja kufanya. Ndio, tunaacha kuendesha anakuja kuendesha. Wao wana vichwa vingapi, wana akili ngapi wana nini kitu maalum ambacho hatuna.UVIVU tu
Kama teknolojia, basi hii inauzwa. Tuingie kandarasi tupatiwe teknolojia ya kisasa. Ufanisi hauwezi kuja haraka lakini tukiweka malengo tunafika. Mwekezaji mwenyewe haleti manufaa hapohapo naye atakupa malengo, atakwambia baada ya miaka kadhaa ya mkataba ndio mambo yataanza kuwa mazuri.
Malengo tunayokwepa kuweka ndiyo hayohayo anayoweka tunayempa bandari. Shida yetu ni nini. Akili yetu huwa tunaweka wapi.
Tunasumbuliwa na madalali, tufanye kila njia tuwaepuke.
3.MWEKEZAJI ANA MIGOGORO YA BANDARI KILA SEHEMU DUNIANI.
Huyu huyu Mwekezaji DP World ana migogoro ya kimkataba karibia kila sehemu duniani katika mahakama ya Kimataifa ya Migogoro ya Uwekezaji ICSID.
Ana mgogoro wa Bandari na Brazil wa mwaka 2014.
Ana mgogoro na Uruguay wa mwaka 2016.
Ana mgogoro Argentina wa Mwaka 2018.
Ana mgogoro na Pdkistan wa Mwaka 2020 nk ,nk.
Migogoro yote hii ipo ICSID na yote ni mikataba ya bandari. Nani kamleta huku kwetu tena. Nini mnataka na huyu mwekezaji.
Hatujamaliza hata maumivu ya mkataba wa TICTS mnakuja na hiki kidudu mtu tena. Hatutakubali.
4.NANI AMELETA WAZO HILI.
Bila shaka sio Tanzania ni mwekezaji mwenyewe. Hakuna shaka sio wazo letu ni la mwekezaji. Aliyechumbia ni niwekezaji na tunacheza ngoma yake. Kwahiyo viongozi hamna haja ya kushupaza sana misuli ili kuonekana mna maono saaaana, hamna kitu, halijawahi kuwa wazo lenu hili. Sio wazo lenu.
Na ushahidi ni kuwa, kawaida wazo lingeanzia kwetu tungetangaza Tenda wakajitokeza washindani ambaye angeshinda angeingia mkataba.
Hamshangai jambo hili halina tenda!!!, Ni kwasababu mwenyewe amekuja na wazo lake mija kwa moja na hivyo huwezi kumshindanisha.
Nataka kusema nini hapa, huyu amekuja kutafuta oppurtunity na si kuisaidia Tanzania. Amekuja kutafuta ukwasi. Naona viongozi wengi mnaongea kana kwamba sasa ndio wakati wa kufaidika,huyu mtu ni mzuri sana, ataisaidia nchi, atainua uchumi, ataleta maendeleo, ajira zitamwagika nk.
Hamjifunzi tuu, ni mwekezaji gani tokea mmeanza kuwapokea wawekezaji, kuanzia wale wa migodini nk. amewahi kuwafikisha katika hayo. Ni yupi tangu sera za Mkapa za Ubinafsishaji ziingie.
Mwekezaji ni mfanyabiashara anaangalia faida yake period.
Ni hivi, hakuna mwekezaji anaweza kuendeleza nchi yako. Mtu pekee wa kuendeleza nchi yako ni wewe mwenyewe. Umeshindwa wewe na nchi imeshindwa, umefanikiwa wewe na nchi imefanikiwa.
Tuache UVIVU tusimamie bandari yetu. Bandari inahitaji usimamizi tu na si vinginevyo, na mwekezaji hatafanya kingine chochote zaidi ya kusimamia.
Tuna nini sisi vichwani.
Baada ya hapo tupe na orodha ya kesi zinazomkabili huyo unae mnadi kuanzia hapo KENYAWiki iliyopita nimepata fursa ya kusafiri kwenda Dubai. Nimetembelea maeneo kadhaa, ila moja ya maeneo hayo ni Bandari tatu zinazoendeshwa na Kampuni ya DP World.
Kampuni hii inamilikiwa na Familia ya Mfalme anayetawala Dubai. Kwa Dubai, kampuni hii inaendesha Bandari tatu ambazo ni Jebel Ali, Mina Rashid na Al Hamriyah.
Bandari hizi ziko kati ya umbali wa kilomita nane (8) na 46 kutoka Bandari moja hadi nyingine.
Takwimu nilizozipata, Bandari hizi zinasafirisha kontena milioni 22 kwa mwaka hapa Dubai. Kampuni hii inafanya kazi katika nchi zaidi ya 40 duniani na inaendesha magati 82 sehemu mbalimbali duniani kwa mwaka, ambayo hupokea na kusafirisha makontena milioni 70 yanayosafirishwa na meli 70,000 duniani kote.
Sitanii, ni vigumu mtu kueleza akaeleweka anamaanisha nini. Ukifika katika Bandari ya Jebel Ali, ndipo unaona kuwa kuna binadamu wanaofikiri.
Hoja si tu, makontena wanayosafirisha, bali pia mipango ya sasa na baadaye.
Katika Bandari hizo tatu, kuna mitambo mikubwa ya kushusha na kupakia hizo kontena milioni 22, lakini hawaridhiki.
Ndugu zetu wa hapa Dubai, kupitia DP World kwa sasa wanaendelea na mradi wanaotaraji kuukamilisha mwakani, ambao Bandari itaendeshwa kwa kutumia akili tarakirishi (artificial intelligence).
Kwamba mteja akiwa na kontena lake, hatalazimika kusubiri ‘winch’ ipangue makontena matano kufikia kontena lake la chini.
Kontena zitakuwa zinapangwa kwenye chanja (shelves) ambazo ukibonyeza kifungo (button) na kuweka namba ya kontena husika, hata kama litakuwa katikati ya kontena 30,000 litajichomoa na kutoka nje.
Hii si ya kufikirika au kusadikika, bali wameanza kujenga mitambo husika.
Sitanii, hawa DP World, wapo katika nchi kadhaa za Afrika. Wapo Senegal, waliyofanya Mungu anajua.
Wapo Somalia, nchi ambayo ipo vitani miaka yote tangu kifo cha Rais wao Mohamed Farrah Aidid Agosti 1, 1996, lakini kwa msaada wa DP World kuna habari sizizofurahisha katika masikio ya Wantanzania.
Kwamba kwa macho yangu nimeshuhudia kondoo, matikiti maji, vitunguu, nyanya, mchicha, viazi na kila chakula unachokiwaza kikiuzwa Dubai kutokea Somalia, ilihali sisi huu ni msamiati.
Nimeuliza inakuwaje sisi hatuwezi hili, nikapewa jibu la aina yake. “Shida si Watanzania, bali mifumo iliyowekwa na viongozi wenu. Kinachotakiwa ni kuwawezesha Watanzania. Kuwajengea maghala ya kuhifadhia bidhaa za kilimo karibu na Bandari, kuwaeleza viwango na mbinu bora za kilimo.
"Wananchi wakifahamu mahala penye fedha, masharti watayafuata na kutengeneza fedha. Watanzania wanaweza haya,” ameniambia Afisa mmoja niliyezungumza naye kwenye Bandari ya Jebel Ali.
Sikukomea hapo, nimeuliza imekuwaje Bandari tatu ziko pamoja zinasafirisha kontena 22,000 kwa mwaka hapa Dubai, ilihali sisi hapo Tanzania tumezungukwa na nchi nane, lakini tunasafirisha kontena 700,000 tu kwa mwaka.
Jibu nililopewa ni lile lile ujenzi wa mifumo. Tena, hawa DP World wakasema wanatafuta fursa ya kuja Tanzania kushirikiana na Tanzania, lakini miaka yote wamekwama.
Katika kukwama, wakaamua kwenda nchi jirani ya Rwanda. Wamejenga Bandari Kavu Rwanda.
Makontena ya nchi nyingine sasa yanapitia Bandari ya Dar es Salaam yanakwenda Rwanda, nchi hizo zinachukua makontena pale.
Kampuni ya vyakula ya KFC imefungua ofisi zake Rwanda kutokana na mifumo bora ya Bandari Kavu.
Ndugu zangu Watanzania. Nimesisimuka mwili. Manyoya yamesimama. Sikuamini nilichokiona katika wasilisho.
Rwanda imewapa DP World ardhi yenye mita za mraba 20,000 kuweka Bandari Kavu. Hizi mita za mraba zimekuwa ufuguo wa Rwanda kuingia katika biashara ya Bandari.
Hivi sisi tuna kilomita ngapi za mraba katika Bahari ya Hindi na nchi kavu, hadi leo tuzidiwe na Rwanda inayoanza kuwa nyota inanayong’ara ndani na nje ya Bara la Afrika?
Kwa masikitiko, hapa nchini kwetu tumeambiwa eti Bandari mpya ya Bagomoyo ikijengwa, itaimeza Bandari ya Dar es Salaam. Wajinga ndiyo waliwao.
Bandari zinapokuwa nyingi, ndivyo ushindani unavyoongezeka. Ndivyo mapato yanavyoongezeka. Bandari mbili hapa Dubai zinatenganishwa na kilomita nane (8), ila bado zinatengeneza fedha ndefu.
Sisi hapo kwetu TICTS imekaa hapo miaka 22, bado tunahudumia makontena 700,000 tu kwa mwaka wenzetu wanahudumia milioni 22.
Hapana. Tutafute wenye uwezo wa kutuvusha. Bila kuuma maneno, DP World wanayo nafasi ya kuivusha Tanzania.
Sitanii, nimelazimika kumkumbuka Mwenyekiti wa Chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), Julius Malema wa Afrika Kusini.
Binafsi naamini wazee wetu wamepambana kupata uhuru wa nchi yetu, ila sisi hakuna tulichopambania.
Naamini wakati wetu sasa umefika tupambane kupata Uhuru wa Kiuchumi. Hapo kwetu chanzo muhimu cha uchumi ni Bandari.
Kwa miaka 22 tumekuwa na kampuni ya Tanzania International Container Terminal Services (TICTS).
Nasikia wiki hii mkataba wao umekwisha hapo nchini.
Tuwashukuru kwa kazi waliyoifanya kwa miaka 22, ila sina uhakika kama wameifikisha nchi yetu katika malengo tarajiwa.
Kwa mfano, Kampuni ya DP World inazalisha asilimia 33 ya uchumi wa Dubai.
Hii maana yake ni nini? Nchi yetu kama ikiitumia vyema Bandari ya Dar es Salaam, ina uwezekano wa kuzalisha si chini ya asilimia 45 hadi 50 ya bajeti ya taifa letu.
Tanzama imezungukwa na nchi za Uganda, Rwanda, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Zambia, Zimbabwe na Malawi, ambazo zina uwezekano mkubwa wa kutumia bandari yetu.
Si hizo tu, hata sehemu ya Kenya na Msubiji, baadhi ya mikoa yao ni rahisi kutumia Bandari zetu.
Sitanii, mpendwa msomaji. Wiki hii niruhusu niishie hapa. Wiki ijayo nitaandika kwa kina wapi tumeteleza wapi na tunaweza kusahihisha nini.
Watanzania hatukuzaliwa kula shida. Nafahamu wapo watu wachache wenye vita yao mkononi wakitaka wapewe Bandari waendelee kuvuna.
Msitari huu tuuvuke. Tujenge nchi. Tanzania kwanza, masilahi ya mtu mmoja mmoja baadaye. Mungu ibariki Tanzania.
Sikumbuki nani kaandika![]()
MkuuWiki iliyopita nimepata fursa ya kusafiri kwenda Dubai. Nimetembelea maeneo kadhaa, ila moja ya maeneo hayo ni Bandari tatu zinazoendeshwa na Kampuni ya DP World.

Sikumbuki nani kaandika🏃🏽♂️🏃🏽♂️🏃🏽♂️🏃🏽♂️
Acha upumbavuWiki iliyopita nimepata fursa ya kusafiri kwenda Dubai. Nimetembelea maeneo kadhaa, ila moja ya maeneo hayo ni Bandari tatu zinazoendeshwa na Kampuni ya DP World.

Tunahitaji ufanisi zaidi na zaidi.Ili unufaike na nini mkuu..? Kufungwa kwa vipuri vipya?
Tulibugi migodini..! Basi tupaache majini!
Yote hayo hayajustfy kuuza bandari yetu🙏Hata kama ni hivyo ulivyoandika ndio wapewe uendeshaji bila kikomo?
Sioni faida au hasara ya bandari kuuzwa.Wanaolamba asali ni walewale tu.Ili unufaike na nini mkuu..? Kufungwa kwa vipuri vipya?
Tulibugi migodini..! Basi tupaache majini!
Tunajua umetumwa lakini umelipiwa sh ngap?Wiki iliyopita nimepata fursa ya kusafiri kwenda Dubai. Nimetembelea maeneo kadhaa, ila moja ya maeneo hayo ni Bandari tatu zinazoendeshwa na Kampuni ya DP World.
Kampuni hii inamilikiwa na Familia ya Mfalme anayetawala Dubai. Kwa Dubai, kampuni hii inaendesha Bandari tatu ambazo ni Jebel Ali, Mina Rashid na Al Hamriyah.
Bandari hizi ziko kati ya umbali wa kilomita nane (8) na 46 kutoka Bandari moja hadi nyingine.
Takwimu nilizozipata, Bandari hizi zinasafirisha kontena milioni 22 kwa mwaka hapa Dubai. Kampuni hii inafanya kazi katika nchi zaidi ya 40 duniani na inaendesha magati 82 sehemu mbalimbali duniani kwa mwaka, ambayo hupokea na kusafirisha makontena milioni 70 yanayosafirishwa na meli 70,000 duniani kote.
Sitanii, ni vigumu mtu kueleza akaeleweka anamaanisha nini. Ukifika katika Bandari ya Jebel Ali, ndipo unaona kuwa kuna binadamu wanaofikiri.
Hoja si tu, makontena wanayosafirisha, bali pia mipango ya sasa na baadaye.
Katika Bandari hizo tatu, kuna mitambo mikubwa ya kushusha na kupakia hizo kontena milioni 22, lakini hawaridhiki.
Ndugu zetu wa hapa Dubai, kupitia DP World kwa sasa wanaendelea na mradi wanaotaraji kuukamilisha mwakani, ambao Bandari itaendeshwa kwa kutumia akili tarakirishi (artificial intelligence).
Kwamba mteja akiwa na kontena lake, hatalazimika kusubiri ‘winch’ ipangue makontena matano kufikia kontena lake la chini.
Kontena zitakuwa zinapangwa kwenye chanja (shelves) ambazo ukibonyeza kifungo (button) na kuweka namba ya kontena husika, hata kama litakuwa katikati ya kontena 30,000 litajichomoa na kutoka nje.
Hii si ya kufikirika au kusadikika, bali wameanza kujenga mitambo husika.
Sitanii, hawa DP World, wapo katika nchi kadhaa za Afrika. Wapo Senegal, waliyofanya Mungu anajua.
Wapo Somalia, nchi ambayo ipo vitani miaka yote tangu kifo cha Rais wao Mohamed Farrah Aidid Agosti 1, 1996, lakini kwa msaada wa DP World kuna habari sizizofurahisha katika masikio ya Wantanzania.
Kwamba kwa macho yangu nimeshuhudia kondoo, matikiti maji, vitunguu, nyanya, mchicha, viazi na kila chakula unachokiwaza kikiuzwa Dubai kutokea Somalia, ilihali sisi huu ni msamiati.
Nimeuliza inakuwaje sisi hatuwezi hili, nikapewa jibu la aina yake. “Shida si Watanzania, bali mifumo iliyowekwa na viongozi wenu. Kinachotakiwa ni kuwawezesha Watanzania. Kuwajengea maghala ya kuhifadhia bidhaa za kilimo karibu na Bandari, kuwaeleza viwango na mbinu bora za kilimo.
"Wananchi wakifahamu mahala penye fedha, masharti watayafuata na kutengeneza fedha. Watanzania wanaweza haya,” ameniambia Afisa mmoja niliyezungumza naye kwenye Bandari ya Jebel Ali.
Sikukomea hapo, nimeuliza imekuwaje Bandari tatu ziko pamoja zinasafirisha kontena 22,000 kwa mwaka hapa Dubai, ilihali sisi hapo Tanzania tumezungukwa na nchi nane, lakini tunasafirisha kontena 700,000 tu kwa mwaka.
Jibu nililopewa ni lile lile ujenzi wa mifumo. Tena, hawa DP World wakasema wanatafuta fursa ya kuja Tanzania kushirikiana na Tanzania, lakini miaka yote wamekwama.
Katika kukwama, wakaamua kwenda nchi jirani ya Rwanda. Wamejenga Bandari Kavu Rwanda.
Makontena ya nchi nyingine sasa yanapitia Bandari ya Dar es Salaam yanakwenda Rwanda, nchi hizo zinachukua makontena pale.
Kampuni ya vyakula ya KFC imefungua ofisi zake Rwanda kutokana na mifumo bora ya Bandari Kavu.
Ndugu zangu Watanzania. Nimesisimuka mwili. Manyoya yamesimama. Sikuamini nilichokiona katika wasilisho.
Rwanda imewapa DP World ardhi yenye mita za mraba 20,000 kuweka Bandari Kavu. Hizi mita za mraba zimekuwa ufuguo wa Rwanda kuingia katika biashara ya Bandari.
Hivi sisi tuna kilomita ngapi za mraba katika Bahari ya Hindi na nchi kavu, hadi leo tuzidiwe na Rwanda inayoanza kuwa nyota inanayong’ara ndani na nje ya Bara la Afrika?
Kwa masikitiko, hapa nchini kwetu tumeambiwa eti Bandari mpya ya Bagomoyo ikijengwa, itaimeza Bandari ya Dar es Salaam. Wajinga ndiyo waliwao.
Bandari zinapokuwa nyingi, ndivyo ushindani unavyoongezeka. Ndivyo mapato yanavyoongezeka. Bandari mbili hapa Dubai zinatenganishwa na kilomita nane (8), ila bado zinatengeneza fedha ndefu.
Sisi hapo kwetu TICTS imekaa hapo miaka 22, bado tunahudumia makontena 700,000 tu kwa mwaka wenzetu wanahudumia milioni 22.
Hapana. Tutafute wenye uwezo wa kutuvusha. Bila kuuma maneno, DP World wanayo nafasi ya kuivusha Tanzania.
Sitanii, nimelazimika kumkumbuka Mwenyekiti wa Chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), Julius Malema wa Afrika Kusini.
Binafsi naamini wazee wetu wamepambana kupata uhuru wa nchi yetu, ila sisi hakuna tulichopambania.
Naamini wakati wetu sasa umefika tupambane kupata Uhuru wa Kiuchumi. Hapo kwetu chanzo muhimu cha uchumi ni Bandari.
Kwa miaka 22 tumekuwa na kampuni ya Tanzania International Container Terminal Services (TICTS).
Nasikia wiki hii mkataba wao umekwisha hapo nchini.
Tuwashukuru kwa kazi waliyoifanya kwa miaka 22, ila sina uhakika kama wameifikisha nchi yetu katika malengo tarajiwa.
Kwa mfano, Kampuni ya DP World inazalisha asilimia 33 ya uchumi wa Dubai.
Hii maana yake ni nini? Nchi yetu kama ikiitumia vyema Bandari ya Dar es Salaam, ina uwezekano wa kuzalisha si chini ya asilimia 45 hadi 50 ya bajeti ya taifa letu.
Tanzama imezungukwa na nchi za Uganda, Rwanda, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Zambia, Zimbabwe na Malawi, ambazo zina uwezekano mkubwa wa kutumia bandari yetu.
Si hizo tu, hata sehemu ya Kenya na Msubiji, baadhi ya mikoa yao ni rahisi kutumia Bandari zetu.
Sitanii, mpendwa msomaji. Wiki hii niruhusu niishie hapa. Wiki ijayo nitaandika kwa kina wapi tumeteleza wapi na tunaweza kusahihisha nini.
Watanzania hatukuzaliwa kula shida. Nafahamu wapo watu wachache wenye vita yao mkononi wakitaka wapewe Bandari waendelee kuvuna.
Msitari huu tuuvuke. Tujenge nchi. Tanzania kwanza, masilahi ya mtu mmoja mmoja baadaye. Mungu ibariki Tanzania.
Sikumbuki nani kaandika![]()
PAUL123 , This is well naratedWiki iliyopita nimepata fursa ya kusafiri kwenda Dubai. Nimetembelea maeneo kadhaa, ila moja ya maeneo hayo ni Bandari tatu zinazoendeshwa na Kampuni ya DP World.

Uwekezaji wa kipumbavu,Utampa vipi Bandari zote Tanganyika Baharini,Ziwani na nchi kavu mwekezaji mmoja ?Hao DP world mfano wapo Antwerp ila wapo kwenye Gateway moja tu.Tena hawako peke yao bali wana joint venture na kampuni zingine.Kinachotakiwa ni MKATABA unaozingatia maslahi mapana na yenye faida kwa nchi !! (Kama kuna ulazima wa kuwa na uwekezaji husika).